DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Naibu Katibu wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi (TABOA) Issa Nkya, amewatoa hofu wananchi na abiria kuwa hakijatoa tamko la usitishaji huduma za usafiri wa mabasi ya mikoani na nchi jirani hapo kesho, hivyo huduma zipo kama kawaida kwa saa 24, hivyo wananchi wametakiwa kupuuza taarifa za mtandao kuwa huduma za usafiri wa mabasi hazitakuwepo kupisha zoezi la upigaji kura.
Pia Soma: Baadhi ya vyombo vya usafiri wa umma kusitisha safari zake kwa tarehe 29/10. Je, ni maagizo ama hofu?
Pia Soma: Baadhi ya vyombo vya usafiri wa umma kusitisha safari zake kwa tarehe 29/10. Je, ni maagizo ama hofu?