Wakuu watu wengi tumejikita zaidi katika kuzifahamu simu za bei ya chini, bei ya kati na za bei ya juu hasa hzi smart phones.
Je ni Tablets zipi za bei ya chini ila inayopiga kazi kwa wakati tuliopo yaani zinazotumia angalau OS ya android jellybeen au kitkat maana nataka ninunue kamoja ka kuanzia.
Cc kwa wote wanaozijua Tablets
Tablet za ukweli ni za apple

Mkuu inapiga kazi vzur? Na huku Arusha zipo kweli
iko fresh. sijaona weakness yake. mimi mwenyewe nipo arusha na nimeinunulia hapa arusha. internet ya uhakika . sauti ni stereo battery iko poa inakaa hata masaa zaidi ya 8 kama matumizi yako ni ya simu na internet kidogo