Tablets, smart phone and laptops

Tablets, smart phone and laptops

Maberere

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
316
Reaction score
93
Wana JF mimi nimepata uwakala na kampuni moja ya kichina inayotengeneza Tablets, smart phone na laptops wameniambia nipate angalau watu 20 ambao watanunua products hizo mara tu ya kufika nchini ili wanitumie kwa bure ili baade zikifika niziuze mara moja na kutuma hela zao na kuendelea nao hivyo hivyo.

Ombi. Wanajanvi naomba ambao mko tayari kununua tuwasliane mimi sitataka unilipe hela ila unihakikishie tu kuwa utanunua mara tu ya mzigo kuingia then muniruhusu niwambie wanitumie. Unaweza ukaniPM au ukanicall 0683714488. Mi napatikana DAR.

WADAU TULIOAGIZA TABLET TUJIANDAE BAADA YA WIKI MBILI MZIGO UTAKUWEPO BONGO, NA WALE WA LAPTOP NA IPAD TUANZE KUAGIZA HIZO NDO BEI ZAKE USIOGOPE BEI NDOGO WW AGIZA TU KAMA UNAYO HIYO HELA
ILIYOANDIKWA.
BEI ZA LAPTOP NA IPAD TU TUNAWEZA KUDISCUSS KAMA UNATAKA ZAIDI YA MOJA.
 
Attachments

kaka nimezichek hzo bei za laptop ni reasonable, ningependa jua kama hizo bei (in USD) nitaweza pata laptop husika kwa bei iloainishwa katika list ama itanibidi niongeze cha juu.? pili ni lini mzigo unatarajiwa kufika nchini baada ya mtu kuweka booking.?
 
bei haibadiliki ila kwa apple laptop inaweza kubadilika,
kuhusu mzigo kuja ni baada ya wiki moja na siku tano unaingia nikipata hiyo idadi on time,
 
Wana JF mimi nimepata uwakala na kampuni moja ya kichina inayotengeneza Tablets, smart phone na laptops wameniambia nipate angalau watu 20 ambao watanunua products hizo mara tu ya kufika nchini ili wanitumie kwa bure ili baade zikifika niziuze mara moja na kutuma hela zao na kuendelea nao hivyo hivyo.

Ombi. Wanajanvi naomba ambao mko tayari kununua tuwasliane mimi sitataka unilipe hela ila unihakikishie tu kuwa utanunua mara tu ya mzigo kuingia then muniruhusu niwambie wanitumie. Unaweza ukaniPM au ukanicall 0683714488. Mi napatikana DAR.

Hey! Send me those price sheets on email, I'm on mobile and just failed to download attachments. alphonce@alphonce.net
 
Hizi price hasa za apple mbona zipo chini sana? Is it true?
 
hapo bado sijaelewa unataka idadi ya watu ishirini in total au at each product ebu funguka
 
Hizi price hasa za apple mbona zipo chini sana? Is it true?

Ni kweli kaka, coz mi nipo USA, na nimenunua MacBookPro 15" i7 ni dola 1,800, sasa naangalia bei za huyu mkuu wangu, MacBookPro 17" i5 $ 405!!! naona ni kama bure. Ila nilichoambiwa hapa USA bei za apple zinapangwa na kampuni na zinakua sawa kote, sasa nimeshangaa kuona bei sawa na bure, labda huyu mshkaji atuhakikishie ubora wake coz ni oda ya MacBookPro 2 za washkaji wangu wanataka kununua, so kama kweli hiyo ndo bei na ubora ni sawa, nitawaunganisha kwako
 
Hapa USA, MacBookPro 17'' i5 ni yenye hizo sifa alizozitaja hapo ni dola 2,000
 
Amesema wanaomuuzia ni watengenezaji, kwa maelezo hayo tu hizo zitakuwa si genuine (labda kama kuna maelezo tofauti), kiwanda kinachotengeneza bidhaa za apple kamwe si wauzaji wala wasambazaji wa bidhaa za apple! Cha muhimu kuangalia hapo ni viwango vya ubora.
 
wana jf mimi nimepata uwakala na kampuni moja ya kichina inayotengeneza tablets, smart phone na laptops wameniambia nipate angalau watu 20 ambao watanunua products hizo mara tu ya kufika nchini ili wanitumie kwa bure ili baade zikifika niziuze mara moja na kutuma hela zao na kuendelea nao hivyo hivyo.

Ombi. Wanajanvi naomba ambao mko tayari kununua tuwasliane mimi sitataka unilipe hela ila unihakikishie tu kuwa utanunua mara tu ya mzigo kuingia then muniruhusu niwambie wanitumie. Unaweza ukanipm au ukanicall 0683714488. Mi napatikana dar.

wadao tulioagiza tablet tujiandae baada ya wiki mbili mzigo utakuwepo bongo, na wale wa laptop na ipad naomba tusubiri subiri afu bei zizoonekana hapo ni za kiwandani na si zakununulia coz kuna shipping cost na custom tax so mda si mrefu nitaatach buying price in tsh. Karibun saana.
 
hapa usa, macbookpro 17'' i5 ni yenye hizo sifa alizozitaja hapo ni dola 2,000

hivi vitu ni bei dogo sana sema watu tu tunavipandisha nenda kiwandani utajionea mwenyewe,, mtu unanunua kitu $100 unakiuza $300 hii sio haki,, laptop na ipad bei zizoonekana hapo ni za kiwandani na si zakununulia coz kuna shipping cost na tax so mda si mrefu nitaatach buying price in tsh
 
Hapa USA, MacBookPro 17'' i5 ni yenye hizo sifa alizozitaja hapo ni dola 2,000

hivi vitu ni bei dogo sana sema watu tu tunavipandisha nenda kiwandani utajionea mwenyewe AU UANGALIE KWENYE MTANDAO,, mtu unanunua kitu $100 unakiuza $300 hii sio haki,,
 
Wana JF mimi nimepata uwakala na kampuni moja ya kichina inayotengeneza Tablets, smart phone na laptops wameniambia nipate angalau watu 20 ambao watanunua products hizo mara tu ya kufika nchini ili wanitumie kwa bure ili baade zikifika niziuze mara moja na kutuma hela zao na kuendelea nao hivyo hivyo.

Ombi. Wanajanvi naomba ambao mko tayari kununua tuwasliane mimi sitataka unilipe hela ila unihakikishie tu kuwa utanunua mara tu ya mzigo kuingia then muniruhusu niwambie wanitumie. Unaweza ukaniPM au ukanicall 0683714488. Mi napatikana DAR.

WADAO TULIOAGIZA TABLET TUJIANDAE BAADA YA WIKI MBILI MZIGO UTAKUWEPO BONGO, NA WALE WA LAPTOP NA IPAD NAOMBA TUSUBIRI SUBIRI AFU BEI ZIZOONEKANA HAPO NI ZA KIWANDANI NA SI ZAKUNUNULIA COZ KUNA SHIPPING COST NA TAX SO MDA SI MREFU NITAATACH BUYING PRICE IN TSH. KARIBUN SAANA.

Iko siku utatafutwa kuisaidia polish bila yunifomu, chunguza kama hao washkaji wako hawavunji sheria ya copiraiti.
 
Back
Top Bottom