Edward A Chapa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 977
- 1,408
Habari ndugu
Nilikuwa nahitaji tablets for data collection za kukodisha kwa siku.
Idadi ziwe 12
Nahitaji kwa siku 6
Kuanzia 4 November mpaka 10 November
Kama Unazo au unajua zinapo kodishwa naomba nijulishe
Kwa namba hii +255717246284
+255767246284
Mail. edwardchapa02@gmail.com
trustresearchltd@gmail.com
Idea mzur sanaaMkuu samahani lakini unahitaji TAB Zenye Camera Nzuri Pia I mean Utakuwa Unapiga Na Picha Kwenye Zoezi Lako La Data Collection?
Kama Sio Basi Zama Vodashop
Chukua VFD 1100 Ni 150k Mpya Ila Kwa Wewe Ukichukua Zote Am Sure Watakupunguzia.
Ukimaliza kazi yako njoo hapa Uza 120K Kila Moja Am Sure Utakuwa Umefanya Jambo la busara
langu hilo Boss.
Mkuu samahani lakini unahitaji TAB Zenye Camera Nzuri Pia I mean Utakuwa Unapiga Na Picha Kwenye Zoezi Lako La Data Collection?
Kama Sio Basi Zama Vodashop
Chukua VFD 1100 Ni 150k Mpya Ila Kwa Wewe Ukichukua Zote Am Sure Watakupunguzia.
Ukimaliza kazi yako njoo hapa Uza 120K Kila Moja Am Sure Utakuwa Umefanya Jambo la busara
langu hilo Boss.
Asante nduguHongera mkuu kaza buti
Asante ndugu kwa kunifuatilia.mkuu unasonga, toka unafungua research consulting firm yako nakufuatiliaa.