Tablet Screen

Tablet Screen

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,523
Reaction score
14,002
Wadau JF, Tablet yangu Inch 7 imeanguka na kuvunjika KIOO kwa hiyo natafuta KIOO kingine..au kama kuna mtu anayeihitaji tablet ninaweza kumpa kwa bei nafuu zaidi,tablet haina shida yeyote zaidi ya KIOO,inawaka vizuri na kuchaji pia.Mimi nipo Arusha.Aliye tayari aniPM.Asanteni..!
 
Back
Top Bottom