MANGUNGO JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 1,536 Reaction score 354 Sep 24, 2015 #1 Wakuu nimepewa tablet imetoka china lakini sasa inatumia 3G doungle nikiweka line haisomi sipigi simu wala kupata internet naomba msaada wa namna ya kuifanyia setting wadau ili niwe hewani.asanteni naomba kuwasilisha
Wakuu nimepewa tablet imetoka china lakini sasa inatumia 3G doungle nikiweka line haisomi sipigi simu wala kupata internet naomba msaada wa namna ya kuifanyia setting wadau ili niwe hewani.asanteni naomba kuwasilisha