Naomba msaada kwa anayejua namna ya kupata risiti za uber

Anthony Paschal

JF-Expert Member
Oct 23, 2013
513
10
Habari zenu,

Naomba msaada kwa anaeweza kujua namna ya kupata risiti za uber baada ya kubadili simu na kuingiza email na namba ya simu ile ile hazikuweza kurudi, na nimejaribu kupiga namba yao kwa msaada haipatikani ambayo ni 0764855690, naomba msaada wenu.
 
Kwa kawaida ukisha sign in kwenye email husika vitu vyote vinaonekana kama vilivyokuwa
We labda umebadilisha email
 
Back
Top Bottom