Tablet inatafutwa kwa Tshs 200,000/=

el nino

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
4,712
Reaction score
5,074
Husika na kichwa cha habari kama kinavyojieleza mwenye tablet yeyote ile aje tufanye biashara
 
Njoo nikuuzie Acer A1 mpya dukani inauzwa 600,000, ni nzuri sana, ongeza 100,000
 
njoo nikupe huawei tab nicheki 0688 206680
 
Hata tab ya Alcatel hupati kwa bei hio..
 
mimi nina Tablet za ukweli nzuri sana niko state sasa ningepata watu wanaohitaji ningekuwa nawaletea maana ni cheap Tz mnauziwa bei nikiamka nitaweka hapa vitu gani zilivyonazo na bei kwa Tsh zikifika uko
 
Bado hujaamka mkuu???amka hana uweke vitu
 
mimi nina Tablet za ukweli nzuri sana niko state sasa ningepata watu wanaohitaji ningekuwa nawaletea maana ni cheap Tz mnauziwa bei nikiamka nitaweka hapa vitu gani zilivyonazo na bei kwa Tsh zikifika uko

Hujamka boss?
Amka mzee nchi yako inaangamizwa huku!
 
Ndio.. Na sasa wamekuja na smart phones za ukweli, na tabs pia... Ishu ni kuwakimbiza techno na huawei..

Zamani nawakumbuka simu zao zilikuwa ngumu sana kutumia.
Mama alikuwa nayo ikabidi aifungie kabatini maana kutumia msala akatafuta nokia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…