Tablet inahitajika haraka

Tablet inahitajika haraka

Jaby'z

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
4,318
Reaction score
7,655
Wakuu habari?nahitaji tablet mpya au used ila isiwe na muda mrefu nina 200k,
ukiwa dsm itapendeza zaidi
 
imetumika muda gan, specs zake zikoje mkuu
Specs mpaka niangalie sijawahi kutumia ila unaweka line 2 na memory card pia ina Bluetooth keypads, nilitoka nayo nje miezi 4 imepita. Ila mi sio mfanyabiashara...
 
sawa mkuu,tuwasiliane
 
Mkuu nilinunua simu kama hiv hiv, kumbe in ya mbio bana, najua unajua kale ka mtindo ka kutrack, hesabu yaliyonipata
1. Nililala sero kwa Mara ya kwanza maishani
2. Nilipata typhoid mule ndani
3. Simu ilienda bure na nilinunua 600k
4. Nilitoa M6 iliyodaiwa kuibiwa na Cm
5. Nilitoa lak 5 kama usumbufu
6. Nilikosa mtihan wa interview
7. Ngoja niishie hapo ila asaiv hata kichwa cha usb sinunui kwa mtu.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Mkuu nilinunua simu kama hiv hiv, kumbe in ya mbio bana, najua unajua kale ka mtindo ka kutrack, hesabu yaliyonipata
1. Nililala sero kwa Mara ya kwanza maishani
2. Nilipata typhoid mule ndani
3. Simu ilienda na nilinunua 600k

Pole sana lakini kuna uzi upo hapa na wewe ulikua unauza laptop au ilikua kabla hujakumbana na mkasa? Kama unaogopa kununua mali kwa mtu mtandaoni nilitegemea pia utaogopa na wewe kuuza mali zako mtandaoni
Nauza Laptop, nipo Dodoma
 
Good advice!
 
Tablet zipo 7" na 10"
zipo zinazotumia wireless na nyingine zinatumia laini,..we wataka ipi yakhee au we unataka yoyote tu
 
Pole sana lakini kuna uzi upo hapa na wewe ulikua unauza laptop au ilikua kabla hujakumbana na mkasa? Kama unaogopa kununua mali kwa mtu mtandaoni nilitegemea pia utaogopa na wewe kuuza mali zako mtandaoni
Nauza Laptop, nipo Dodoma
Hujakoseaaa, ile ina miez minne tangu niuze kipindi nipo dom, simu nimepigwa mwezi wa nane. Naweza nikakushauri hata Mimi nikija kukuuzia kitu n vzr ukadai reseat na makabidhiano ya kimaandishi au kamavipi tukauziane polisi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom