Mkuu nilinunua simu kama hiv hiv, kumbe in ya mbio bana, najua unajua kale ka mtindo ka kutrack, hesabu yaliyonipata
1. Nililala sero kwa Mara ya kwanza maishani
2. Nilipata typhoid mule ndani
3. Simu ilienda bure na nilinunua 600k
4. Nilitoa M6 iliyodaiwa kuibiwa na Cm
5. Nilitoa lak 5 kama usumbufu
6. Nilikosa mtihan wa interview
7. Ngoja niishie hapo ila asaiv hata kichwa cha usb sinunui kwa mtu.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Ata mm nilitaka kusema hivyo hivyo Tu basi.benki isiyojulikana
Pole sana lakini kuna uzi upo hapa na wewe ulikua unauza laptop au ilikua kabla hujakumbana na mkasa? Kama unaogopa kununua mali kwa mtu mtandaoni nilitegemea pia utaogopa na wewe kuuza mali zako mtandaoni
Nauza Laptop, nipo Dodoma





Me nauzaWakuu habari?nahitaji tablet mpya au used ila isiwe na muda mrefu nina 200k,
ukiwa dsm itapendeza zaidi