Tabiri top four ya EPL msimu mpya wa mashindano 2025/26.

Tabiri top four ya EPL msimu mpya wa mashindano 2025/26.

Holoholo-Baba Kijacho

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
6,729
Reaction score
13,760
Pasipo kupepesa na kumumunya maneno top four yangu ni
1. Chelsea
2. Liverpool
3. Arsenal
4. Manchester City

hii ndiyo top four yangu lakini huenda kukawa na mabadiliko ndani ya top four hii kuna timu zitashuka,kupanda ila licha la kupanda na kushuka top four zitabaki hizohizo 4

weka top four yako.
 
Umekosea hapo juu Kabisa weka Liverpool
Amekosea kivipi wakati heading ya uzi inamtaka kila mtu kuweka utabiri wake wa top four yake?

Kwahiyo wewe ukiweka top four yako ndio utakua umepatia na ligi itaisha kwa msimamo utakaouweka wewe hapa?
 
Pasipo kupepesa na kumumunya maneno top four yangu ni
1. Chelsea
2. Liverpool
3. Arsenal
4. Manchester City

hii ndiyo top four yangu lakini huenda kukawa na mabadiliko ndani mwa top four hii kuna timu zitashuka,kupanda ila licha la kupanda na kushuka top four zitabaki hizohizo 4

weka top four yako.
Chelsea hana uwezo wa kutwaa ubingwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom