Kakobe alishasema mpira wa soccer ni ushetani. mfano, kumpiga mtu chenga au kumdanganya golikipa kuwa utapiga mpira upande huu kumbe unapiga upande mwingine ni kusema uongo.Huyo mwinjilisti anatabiri mambo ya shetani achana naye!
hivi hapo kwenye red huwa maana yake nini?[h=2]Tabiri nyine ni zaidi ya uhalisia[/h]
Hoja yangu ni kuamini mwinjilisti kwa kutabiri mpira. Kuamini amini tabiri kama hizi hatimaye mtaanza kumuanini hata yule pweza "paul" wa ujerumani kuwa naye ni mtumishi wa Mungu..
Kwani mkuu manabii wa Mungu walivyotabiri mfalme wa Babilony kuwapeleka utumwani wana wa Israel kwa miaka sabini na ikatokea kama walivyotabiri. Wewe hapo unahukumu vipi kwa kuwa utawala wa babilon waliotabiri juu yake ulikuwa chini ya Shetani wakati huo.?
.
Hoja yangu ni kuamini mwinjilisti kwa kutabiri mpira. Kuamini amini tabiri kama hizi hatimaye mtaanza kumuanini hata yule pweza "paul" wa ujerumani kuwa naye ni mtumishi wa Mungu.
Ngoma bado mbichi mwanangu. Kingine pamoja na babu kurusha ngumu, hawa jamaa -MAN U- hawatabiriki.
hivi hapo kwenye red huwa maana yake nini?
Hoja yangu ni kuamini mwinjilisti kwa kutabiri mpira. Kuamini amini tabiri kama hizi hatimaye mtaanza kumuanini hata yule pweza "paul" wa ujerumani kuwa naye ni mtumishi wa Mungu.
Teh teh teh.......Kakobe alishasema mpira wa soccer ni ushetani. mfano, kumpiga mtu chenga au kumdanganya golikipa kuwa utapiga mpira upande huu kumbe unapiga upande mwingine ni kusema uongo.Huyo mwinjilisti anatabiri mambo ya shetani achana naye!