kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 8,272
- 22,062
Wanajukwaa, Ni matumaini yangu kuwa mpo salama na mnaendelea na majukumu ya kila siku ,,,,
Well, kwenye maisha ya kawaida ya kila siku jinsi tunavyojamiiana na watu, Kuna vijitabia fulani fulani ambavyo vinaweza kuonekana Ni vidogo lakini vinaudhi na pengine kuleta kinyaa mbele za watu.
Baadhi ya hizo tabia ni:
[emoji117]Mtu amemaliza kula, anajichokonoa mdomoni na tooth pick mdomo uko wazi, kujifunika kidogo hawezi, vile vi-particles (mfano nyama) anakitoa nje alafu anakiingiza mdomoni anakimeza.
[emoji117]Mtu anajichokonoa puani kwa kuingiza vidole na kutoa uchafu tena mbele za watu, unashindwa kutumia kitambaa au uende faragha ujistiri?
[emoji117]Kupiga chafya/kubanja hadharani (penye watu) bila hata kujikinga na kiwiko au kitambaa
[emoji117]Mtu muongeaji Sana alafu anatema mvua, kama unajijua una huo udhaifu usiwe muongeaji Sana pia jitahidi wakati wa maongeza usimsogelee Sana unaeongea naye.
[emoji117]Mpo mezani mnataka kula, mtu alikuwa anatafua buble gum anaitoa mdomoni, anaishika mnononi mnaendelea kula, hapo pengine mpo dinning room anaogopa kuitemea chini. Si utoke tu nje.
Ni vijitabia vidogo dogo lakini vinaudhi/kukera na kutia kinyaa ! Ongezea vijitabia vingine [emoji116][emoji116][emoji116]