Half London
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 261
- 117
So.....the point is.......
Nimeishi na hawa watu kwa muda mrefu sehemu tofauti tofauti hapa Tanzania. 1. Huwa hawachambi kwa maji wala kutumia lesso katika kufuta makamasi. 2. Asilimia kubwa huwa wanapenda wanaume marasta na wasiokuwa na na future na maisha ya mbele. 3. Wanapenda kuingia msalani peku kwenye hotel/hostel hata kama ni vya kushare. 3. Wengi wao huwa hawatumii tooth pick baada ya kula. 4. Wengi wao hawana dini,hasahasa vijana wa kisasa. 5. Wakiwa nchini huwa wanapenda kuvaa ovyo,na wanaweza kuvaa nguo za ndani bila kufua kwa muda mrefu tofauti na wakiwa nchi zao. 6. Asilimia kubwa wamechora tatoo,wanawake tatoo zao ni za vipepeo. 7 Hawawezi kucheza mziki zaidi ya kurusha rusha mikono na kutokwa na jasho. Harufu za ngozi zao huwa zina harufu mbaya na ni moja kama ilivyo kwa wamasai. Na ni warahisi kuwachukua kimapenzi wakiwa wameshakunywa,hasa hasa wale mavolunteer na wanafunzi. Na mnaweza mkaendelea na nyingine......
walio wengi hasa kwao hawajui kusema uwongo. na akisema uwongo aukimkazia machao anasema I am sorry.
wengi wao wakiwa kwao akichepuka huja nyumbani na kuwambia mwenzi wake kuwa kahcepuka na ilikuwa just sex, sio kuoenda.
je si akina maganga tuanyawza hayo.
Wazungu wengi wana harufu fulani hivi, siipendi. Sijui ni mafuta!
Ukristo haukuanza kwa wazungu nao waliletewa kama wengine tena wao ndio wanaongoza kwa upagani.Na wamasai pia umeishi nao??
Wapi??
Hao wazungu I hope si wote ni hao wachache, wengine ni wazuri, wasafi na wanajali tena wananukia maana wanatumia vitu healthy havina effects nyingi kama za kichina bongo.
Ukristo umeanzia kwao kwahiyo pia wameshika dini ila wana kitu cha kupenda kufanya kitu moyo wake unapenda.
Wanatabia ya uchoyo au wivu hasa wakiwa kwao lakini hapa wanaona kawaida.
Hawajui kusaidiana hata kama ni mtu na girlfriend wake wakinunua soda moja kila mmoja anachangia sh.350.
Kwa kweli wana mengi ya kujifunza na mengine ya kuwaachia wenyewe sisi yale ya ushoga
Basi kila mtu atajifanya anawajua wazungu