Eejamaa eh wazima wote, hebu tufahamishane tabia za wanawake wa kinyamwezi ni zipi kwa sisi tusiojua tabia zao ili tusije kuingia mkenge kwa kumuoa mwanamke wa kinyamwezi.
Eejamaa eh wazima wote, hebu tufahamishane tabia za wanawake wa kinyamwezi ni zipi kwa sisi tusiojua tabia zao ili tusije kuingia mkenge kwa kumuoa mwanamke wa kinyamwezi.
1. Wanajua mahaba
2. Wanajua kupika
3. Idadi ya watoto ni nguvu yako
4. Wavumilivu
5. Wana upendo sana plus wivu
6. Mostly ni warembo
7. Ukioa hakikisha unatafuta hela kwa nguvu sana maana sio wapenzi wa kuhangaika kama wapalestina lakini familia watakulelea vizuri mno.
Wakikufanyizia utajuta, rafiki angu aliwahi ambiwa na dem wake kuwa anauwezo wa kumuweka kwenye kiganja akatulia tu na akawa anamwendesha. Tangu siku hiyo mwana alikaa na huyo manzi.