Tabia za wanawake wa Kimanyema mapenzini

Naomba mnijulishe tabia za wanawake wa kabila hili maana naona wengi sana wamezaa bila ndoa, na pia nilishawahi ona mzazi akimuonya mwanae asije akaoa Mmanyema
siKweli.... hao ni Asilia !!
 
Hivi operation kimbunga imeisha eeeee,wote mliojitaja wa congo jiandaen kurud kwenu

Tupeni Diamond, Ali Kiba, Abdu Kiba, Banna Zorro, Maunda Zorro, Queen Darleen, Mwasiti, Baba Levo, Makomando, Recho, Omy Dimpoz, Chege, Juma Kaseja na wengine kibao tuondoke nao.
 
Wamanyema wengi ni wajuzi na wanasifika kwa kujengewa majumba kariakoo zamani

zamani ilikuwa ukitaka mwanamke wa kimanyema lazima uwe na pesa....na walikuwa wanahongwa majumba tu

Mkuu umesahau walisifika mapenzi yapi? Inasemekana walikuwa wajuzi wakutoa kabang.
 
Kwa bed wako njema,kwa ndumba wako vizuri na wana mdomo ajabu rrahmaan.
Mwanamke wa kimanyema akiamua kukuchamba utajuta!

hahaaa Asia wangu weeeeee....mambo yote uko safi lakini mdomo na kununaaaa..mhhhhh
 
Wana shepu safi sn, na wanajua sana kushughulika kwa bed, ila tatizo ndo hilo, sio wavumilivu kabisaaa,na kugongewa nje nikawaida tu!!!( sio wamanyema wote wenye tabia hizo, ila binafsi nshashuhudia baadhi wenye tabia hizo)
 
..
.. bila kumpiga mbuzi kagoma na makofi ya mahips na kuya sugua vizuri HATAKUELEWAA..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…