Wanaume wa siku hiz mna njaaa yaan unashindwa kumpa chakula ale ashibe unahesabu tuu!! We unataka aje akupe unachotaka akiwa na njaaaa wanaume mkoje badiliken bhna mnatuboa
Starehe gharama,akija hajala ni bora zaid kuliko aje halafu awe yupo period..lakin hata na hvyo demu wako kakuomba umnunulie chakula umekuja huku jf kwan ndio penye mgahawa?
Kwa nini baadhi ya wanawake wanatabia za ajabu Sana? Mimi Nina demu mmoja kila nikimuita tuonane anakuja kweli lakini lazima aseme hajala hata kama ni saa ngp atasema sijala dear, naomba ushauri mwanamke huyu anamatatizo gani?
Usishangae wanawake hiyo ni tabia ya kawaida, Mimi nilishashuhudia hilo miaka ya nyuma kidogo (10 iliyopita) nikiwa Deluxe club pale Mwanza mjini, Mwanamake anahitaji Samaki saa tisa Usiku na alikula akamaliza Sato mzima. Kwa hiyo ni kawaida tu usipate shida kabisa.