usikumnene
Member
- Apr 23, 2017
- 81
- 108
Mnunulie chakula ale , wanaume wa siku hizi mkoje? Kitu kidogo kama hicho unalalamika? This is amazing.Kwa nini baadhi ya wanawake wanatabia za ajabu Sana? Mimi Nina demu mmoja kila nikimuita tuonane anakuja kweli lakini lazima aseme hajala hata kama ni saa ngp atasema sijala dear, naomba ushauri mwanamke huyu anamatatizo gani?
ana njaa ndugu!Kwa nini baadhi ya wanawake wanatabia za ajabu Sana? Mimi Nina demu mmoja kila nikimuita tuonane anakuja kweli lakini lazima aseme hajala hata kama ni saa ngp atasema sijala dear, naomba ushauri mwanamke huyu anamatatizo gani?
Kumbuka hapo nimesharushia hela kwenye M-PESA kama elfu 20 kama nauli lkn sehemu anayotoka anaweza kutumia elfu moja Kwa bodaboda.Duu! Mtu kusema hajala ni tabia mbaya! Kwa hiyo mkuu wewe ukimuhitaji anakuja na anakupa unachotaka ila wewe hutaki kumpa hata chakula akija kwako,badilika ndugu yangu.Wewe ni mwanaume na ni jukumu lako kumhudumia mpenzi wako baadhi ya shida zake.
Chakula nacho unalalamika?? Akiomba gari itakuwaje?Kwa nini baadhi ya wanawake wanatabia za ajabu Sana? Mimi Nina demu mmoja kila nikimuita tuonane anakuja kweli lakini lazima aseme hajala hata kama ni saa ngp atasema sijala dear, naomba ushauri mwanamke huyu anamatatizo gani?
Unaposema wanawake unajumuisha wake zetu ambao najua hawana tabia hiyo . Next time uwe mwangalifu kuandika heading mfano"wadada/wasichana wa siku hizi.....nkKwa nini baadhi ya wanawake wanatabia za ajabu Sana? Mimi Nina demu mmoja kila nikimuita tuonane anakuja kweli lakini lazima aseme hajala hata kama ni saa ngp atasema sijala dear, naomba ushauri mwanamke huyu anamatatizo gani?
JF imevamiwa na vitoto vya fesibuku basi imekua tabu tu humu!Kwa nini baadhi ya wanawake wanatabia za ajabu Sana? Mimi Nina demu mmoja kila nikimuita tuonane anakuja kweli lakini lazima aseme hajala hata kama ni saa ngp atasema sijala dear, naomba ushauri mwanamke huyu anamatatizo gani?
Unaona kabisa tatizo lake ni NJAA halafu unauliza. Shukuru huyo ni msosi tu, wenzio tunachunwa hilo balaa tunaliona sijui tunalea ukoo!Kwa nini baadhi ya wanawake wanatabia za ajabu Sana? Mimi Nina demu mmoja kila nikimuita tuonane anakuja kweli lakini lazima aseme hajala hata kama ni saa ngp atasema sijala dear, naomba ushauri mwanamke huyu anamatatizo gani?
Wengi wetu ss wanaume n wabahir kwenye kutoa....Yaan mm nauliza kabla ya kuulizwaKwa nini baadhi ya wanawake wanatabia za ajabu Sana? Mimi Nina demu mmoja kila nikimuita tuonane anakuja kweli lakini lazima aseme hajala hata kama ni saa ngp atasema sijala dear, naomba ushauri mwanamke huyu anamatatizo gani?
Mlafi huyoKwa nini baadhi ya wanawake wanatabia za ajabu Sana? Mimi Nina demu mmoja kila nikimuita tuonane anakuja kweli lakini lazima aseme hajala hata kama ni saa ngp atasema sijala dear, naomba ushauri mwanamke huyu anamatatizo gani?