Wale wafupi bana kama asemavyo mhenga
pascal mayala demu akizileta analiwa, akileta ukorofi anabwagwa, na huwa hawakosi mademu, wanapendwa kama nini, tena sababu ya ufupi wao ni wanaume wa kutafuta hela ile mbaya, most of the time they very handsome, na shughuli wanaiweza, sasa wakibwaga wanawake matokeo yake ndiyo haya, ni kelele kama hizi, nina kaka yangu mfupi ni hatari, wanamlilia kila kukicha, labda mleta mada ni mhanga?! Pole mama..