Nakubaliana na wewe bure MkuuFyi hakuna udhaifu kama kuwa na mtoto lakini unamficha....end of the day anakosa haki yake!!
Asante mkuuGone are those days.
Tunaishi kwenye kizazi kinachopenda meteremko hadi kufikiri/kutafakari.
The irony of our times:
Kijana amke, awaze instagram, wozap, kubeti, Mpira, "michepuko'', biere n.k
Mtu huyu anapata wapi muda wa kutafari issues, uelekeo wa maisha yake, uhusiano wake na muumba wake, kujifunza kujihusu na kuhusu mazingira yake na ulimwengu kiumla?
Wanakimbia matatitizo kwa kutengeneza tatizo jingine. Mfano; Mtu anagombana na mke wake, badala akae atatue tatizo, anakimbilia kutafuta mchepuko in the name of ''sitaki stress'' akili ya kushikiwa hii. We mainly grow through problems/challenges.
Tunahitaji muujiza kuhuisha ''reasoning''.
Tatizo lamichepuko linasababishwa na wanawake mwenyewe ukinieshim ntakueshim ukinipenda ntakupenda sasa nyinyi ujeuri moto kukuacha na shindwa coz tume make family why nisitafute mchepuko!Gone are those days.
Tunaishi kwenye kizazi kinachopenda meteremko hadi kufikiri/kutafakari.
The irony of our times:
Kijana amke, awaze instagram, wozap, kubeti, Mpira, "michepuko'', biere n.k
Mtu huyu anapata wapi muda wa kutafari issues, uelekeo wa maisha yake, uhusiano wake na muumba wake, kujifunza kujihusu na kuhusu mazingira yake na ulimwengu kiumla?
Wanakimbia matatitizo kwa kutengeneza tatizo jingine. Mfano; Mtu anagombana na mke wake, badala akae atatue tatizo, anakimbilia kutafuta mchepuko in the name of ''sitaki stress'' akili ya kushikiwa hii. We mainly grow through problems/challenges.
Tunahitaji muujiza kuhuisha ''reasoning''.
Tatizo lamichepuko linasababishwa na wanawake mwenyewe ukinieshim ntakueshim ukinipenda ntakupenda sasa nyinyi ujeuri moto kukuacha na shindwa coz tume make family why nisitafute mchepuko!
Preaaaaaaach baba!Gone are those days.
Tunaishi kwenye kizazi kinachopenda meteremko hadi kufikiri/kutafakari.
The irony of our times:
Kijana amke, awaze instagram, wozap, kubeti, Mpira, "michepuko'', biere n.k
Mtu huyu anapata wapi muda wa kutafari issues, uelekeo wa maisha yake, uhusiano wake na muumba wake, kujifunza kujihusu na kuhusu mazingira yake na ulimwengu kiumla?
Wanakimbia matatitizo kwa kutengeneza tatizo jingine. Mfano; Mtu anagombana na mke wake, badala akae atatue tatizo, anakimbilia kutafuta mchepuko in the name of ''sitaki stress'' akili ya kushikiwa hii. We mainly grow through problems/challenges.
Tunahitaji muujiza kuhuisha ''reasoning''.
Hakika umeongea na umemaliza kila kitu. Thats a man's talk.Kuna tofauti kubwa sana kati ya Mwanaume na kijana wa kiume.
Tofauti kubwa kati ya Gentleman and a man linapokuja swala la mahusiano.
Kuna tofauti kati ya mwanaume na mwanamume ''Hahahahahahaa nimechomekea tu"
Mimi ni kijana, lakini tatizo letu kubwa vijana tumekua soft and nice kuanzia kufikiri hadi matendo.
Pia kupenda mteremko wa maisha hadi kufikiri.
Baya zaidi wengi wetu ni kama vile tumeshaamuliwa namna ya kuishi na ''umagharibi''.
Maisha yameonekana kuwa ni kuwa na Pesa, umaarufu na kuwa na utitiri wa warembo.
Kwa nini unafikri mchepuko ni suluhisho?
Kikawaida wanawake wametuzidi akili, Inahitaji kuwa "mwanaume'' kumhimili na kumtawala ''mwanamke''.
Vinginevyo, jiandae tu kuumia au kuahirisha maumivu hadi tutakapoimba parapanda!!!!!!
Kwa maadili ya kiafrika au ni kukopi kutoka kwa wadhungu?Watoto wa nje wanakuja kwenye msiba na kwenye mirathi hawatambuliki