Tabia Za Wanaume Nisizopenda



hawajaribu hata!na wala hawataki kutuelewa kabisa aisee,nagging ni ki-nasaba chao,s labda tumlaumu mungu kwa hilo....hawajaribu kutuelewa na wala hawataki..............wanataka mara zote sisi tuwaellewe wao tu....

lakini ndio wapenzi wetu hao,wake zetu,dada zetu,mama zetu nk.tutamtupia nani sasa!
 
aaaaaah...umeniuaa numba 4,6,8 na 11 zinabooooa...umegusa penyewe..waje hapa halafu tuonee watakavyoji-justify
sasa tu-justify kitu gani wakati hayo mambo hayatuhusu? yeye badala ya kuongea na mumewe/bf huko nyumbani kwake ili aachane na hizo tabia zisizo mfurahisha, badala yake anakuja kubweka hapa, sijui sisi tumsaidiaje?
 
hiyo namba 8 kwakweli wanailo hilo tatizo, mtu anatafuna chakula hovyo huku anaongea ni kinyaa mtindo mmoja..
 
dah! jamvi linaanza kuwa kama facebook, hii mashindano ya wanawake na wanaume nn sabab? mwanaume ni superior just by the virtue of being born a man.
 
No 7 siachi hata nishikiwe AK47,ingawa hiyo ya kuingiza mkono ikulu duh sifanyi ..........,mtu huyo sasa atakuwa mgonjwa.Na nikiwa na mama watoto,kwa heshima yake ntajibaraguza tu kuponda,ili niendelee kulitazama!
 

Au bwanako ndo ana tabia kama hizi?
 
una hasir san inaonyesha

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Mbona baadhi ya mambo uliyoyaandika wanawake huyafanya sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…