1. Kuchokoa pua halafu kama haitoshi kukagua ulichofanikiwa kuvua. Does it look appetising? Take a bite basi usitutapishe.
2. Kurembua na kusema sssss huku unatia kidole/cotton bud kwenye masikio. Sasa tukueleweje? Jikaze mtoto wa kiume, ebo!!
3. Kushangaa shangaa huku mumejishika kiunoni.
4. Kujishika shika maeneo ya nanilii na kujikuna tena ukiwa umetulia hasa. Kama haitoshi unanyanyua nanilii na kukuna chini yake.
Rungu huua wadudu aina zote. Hata Wanaotambaa na kuruka.
4. Kuchokoa meno na kukagua ulichokitoa halafu kutema tema ptuuh ptuuh. I wish I could punch you and make you spit all your teeth!
5. Kujishikashika kifua kama unajiandaa kunyonyesha.
6. Kukagua kila kalio linalokupita. Mpaka ukiwa njiani unasimama. Tena wengine utawasikia kabisaaa wakisema aiseeee huku mkono ushazama kwenye zipu. Arrrghhh.
7. Kutafuna chakula bila discipline. Kama vile meno unayafanyia test.
8. Kujua kila kitu.
9. Kutembea huku unachomoa suruali ilopenya kwenye makalio halafu ukigeuka ukikuta mtu anakuangalia badala ya kusikitika unachekelea.
10. Kutema tema mate.
11. Male chauvinists wanawake hatupumui kisa hoja zako daily za kutuponda.
1. Kuchokoa pua halafu kama haitoshi kukagua ulichofanikiwa kuvua. Does it look appetising? Take a bite basi usitutapishe.
2. Kurembua na kusema sssss huku unatia kidole/cotton bud kwenye masikio. Sasa tukueleweje? Jikaze mtoto wa kiume, ebo!!
3. Kushangaa shangaa huku mumejishika kiunoni.
4. Kujishika shika maeneo ya nanilii na kujikuna tena ukiwa umetulia hasa. Kama haitoshi unanyanyua nanilii na kukuna chini yake.
Rungu huua wadudu aina zote. Hata Wanaotambaa na kuruka.
5. Kuchokoa meno na kukagua ulichokitoa halafu kutema tema ptuuh ptuuh. I wish I could punch you and make you spit all your teeth!
6. Kujishikashika kifua kama unajiandaa kunyonyesha.
7. Kukagua kila kalio linalokupita. Mpaka ukiwa njiani unasimama. Tena wengine utawasikia kabisaaa wakisema aiseeee huku mkono ushazama kwenye zipu. Arrrghhh.
8. Kutafuna chakula bila discipline. Kama vile meno unayafanyia test.
9. Kujua kila kitu.
10. Kutembea huku unachomoa suruali ilopenya kwenye makalio halafu ukigeuka ukikuta mtu anakuangalia badala ya kusikitika unachekelea.
11. Kutema tema mate.
12. Male chauvinists wanawake hatupumui kisa hoja zako daily za kutuponda.
Acha umbea na urongo mwanangu Karucee. Kwani unawajua wanaume wote au ni kutaka sifa tu? Huwa na baba yako anafanya yote hayo? Kwanini useme wanaume wote utadhani unawajua bila kusema baadhi ya wachache unaowajua? Hujui kuwa na wanawake wanachokoa pua? Hujui kuwa na masugamami hutumia hiyo ssss? Hata ungeongelea wanaume wa kijijini kwako si rahisi kuwajua wote na tabia zao. Mbona huna hata chembe ya utafiti ukiachia mbali hoja na aibu? Shame on you!