Tabia za Wanaume mbalimbali wa Afrika

Tabia za Wanaume mbalimbali wa Afrika

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,392
Reaction score
7,863
1. Wanaume wakatili zaidi Afrika - Waangola, Warundi na Wanubi (Sudan). Ukiwakosea ni kipigo au kifo. Kwao hakuna msamiati uitwao "Msamaha".

2. Wanaume wanaojali zaidi familia zao Afrika - Wasenegal.

3. Wanaume wanaopigwa zaidi na wake zao - Wakenya (Kati ya wanaume 10 nchini Kenya 7 wanapokea kipigo kutoka kwa wake zao. Chama cha kutetea haki za wanaume hadi sasa kina wanachama laki 8).

4. Wanaume wanaosali zaidi Afrika - Wasomali (kati ya wanaume 10 wa kisomali, 8 huswali swala 5 kila siku. Hata katikati ya vita huwaachi kuswali).

5. Wanaume matapeli zaidi Afrika - Wanigeria (kati ya wanaume 10 wa Nigeria, 6 ni matapeli wa kutupwa. Hata kama ni Askofu ukijilengesha anakutapeli tu).

6. Wanaume wanaopenda dezo na kulelewa zaidi Afrika - Wakongo (hawa wakioa mwanamke mwenye pesa huhamia kwa mke. Wanaitwa "Mario").

7. Wanaume wasomi zaidi Afrika -Washelisheli (Sychelles). Kila wanaume 100, 40 wana degree. Tanzania kila wanaume 100 watatu wana degree.

8. Wanaume washamba zaidi Afrika - Waeritrea (ukienda kanisani/msikitini na gari jipya wanaahirisha kusali washangae gari kwanza).

9. Wanaume wachawi na Washirikina zaidi Afrika - Wagambia (Rais wao Yahya Jammeh hutumia waganga na wapiga ramli kama sehemu ya walinzi wake).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Number 1 umewasahau Rwandese
 
Naomba connection no 2
 
Back
Top Bottom