MWENDAKULIMA
JF-Expert Member
- Jul 17, 2009
- 951
- 358
Haaaaahaaa! MWENDAKULIMA, Siwezi badili Avatar yangu, kwani hiyo ndiyo picha yangu mwenyewe, GOT ME NIGGA?
Mkuu MWENDAKULIMA, Sijakupata vizuri, kipi kibaya au kizuri, maandishi au avatar? Let me know meen!Teh teh teh. Maandishi yako hayafanani na huyo jamaa kwenye avator,au ndo "don't judge the book by its cover"?
Mkuu MWENDAKULIMA, Sijakupata vizuri, kipi kibaya au kizuri, maandishi au avatar? Let me know meen!
Wana andika vizuri
HAta lOWasa nimEsiKia KwanZia mweZi ujao anaanza MazoeZi yA kuaNdiKia kushoTo.ilI aOnGezE ViGezO Vya KuPaTa UraIsi.
Ni wacheshi sana, waongeaji wazuri na very hard working.
mimi ndio nakwambia sasa , na ushahidi ninaoMmmmhhhh huu utafiti wako umeufanyia wapi?
Wanakuwa milupo
Sio vibaya ukauweka mezani kusapoti uzi wako.mimi ndio nakwambia sasa , na ushahidi ninao
huwa pia wanashabaha sana ya kulenga kitu. Mimi mama yangu, mtt wangu na mjukuu wangu wote ni hivyo. Nahisi huwa ina genetics pia. Kwani na kk yangu piaWadau nilikuwa naomba kujuzwa tabia (unique) za hawa watu wanaoandikia kushoto, na ni kuna ukweli kuwa tabia zao mara nyingi hufanana?