Wewe ni mhujumu uchumiNgoja nikae hapa juu nisikilize watasema nini
Duuh haya mkuu...japo sio siku zote na kwa thread zote hahahaJoseverest- kila thread ni wa kwanza kuchangia
ndiooLeo Nimeku taimu
sina hata mwaka mmoja dar sijui umenirate vipi anyway!GENTAMYCINE - u mach noo mwingi. Kujiona yeye bora kuliko wengine na mashauzi ya hapa na pale.
FaizaFoxy- udini, u CCM na ujuaji mwingi.
mshana jr- hamble, intelligent and gentleman
BAK, - very calm and wise
Sky Eclat- wise and intelligent, good listener
HR 666- utoto mwingi, na kusumbua watu PM
Miss Natafuta- mjanja sana, Mtoto wa mjini
lara 1- Bonge LA story teller
Mkuu watu wanaangalia threads zako ndio wanaassume ulivyosina hata mwaka mmoja dar sijui umenirate vipi anyway!