Tabia za wachepukaji

Tabia za wachepukaji

saddyy

Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
58
Reaction score
54
WACHEPUKAJI WENGI WANATABIA HIZI

1.Hachezi mbali na simu yake kila wakati.

2.Inbox na sending items hufutwa kila wakati.

3.Ukimuomba simu yake ghafla lazima akwambie hebu kwanza.

4. Kamwe haiiti always vaibration.

5. Namba nyingi ha save.

6. Kuna simu hapokei hata iweje anapenda sms zaidi.

7.Majina mengi kwenye simu yameseviwa kwa majina ya kufikirika.

8.Muda mwingi ni mtu wakujihami.

9. Anapenda password na anabadili mara kwa mara.

10. Akiazima simu yako, akitumia tu anafuta deal no haraka.

11. Always yuko na simu hadi bafuni ikibidi.

12. Anajazba ukimuuliza chochote kuhusu simu anajishtukia.

13. Akiwa anachati anakuangalia mara kwa mara kiwiziwizi.

14. Hana jeuri ya kukuweka profile picture na akikuweka humalizi masaa anakudampu huko.

������
 
Sasa niweke profile pic kwani cmu ya saccos......mapenzi y kulzmishana hayana nafasi cmu mali yangu sipangiwi cha kuweka
 
c1fde97299f1d033fb3abc4eeaa2bb36.jpg
 
Tabia za wachepukaji hauna formula km ulivyoainisha hapo juu.
 
WACHEPUKAJI WENGI WANATABIA HIZI.
1.Hachezi mbali na simu yake kila wakati.
2.Inbox na sending items hufutwa kila wakati.
3.Ukimuomba simu yake ghafla lazima akwambie hebu kwanza…….
4. Kamwe haiiti always vaibration.
5. Namba nyingi ha save.
6. Kuna simu hapokei hata iweje….anapenda sms zaidi
7.Majina mengi kwenye simu yameseviwa kwa majina ya kufikirika.
8.Muda mwingi ni mtu wakujihami.
9.Anapenda password na anabadili mara kwa mara.
10.Akiazima simu yako, akitumia tu anafuta deal no haraka.
11.Always yuko na simu…..hadi bafuni ikibidi.
12. Anajazba ukimuuliza chochote kuhusu simu….anajishtukia.
13. Akiwa anachati anakuangalia mara kwa mara kiwiziwizi
14. Hana jeuri ya kukuweka profile picture na akikuweka humalizi masaa anakudampu huko Hapa kuna ukweli asilimia millioni moja kabisa. Km kweli unajiamini badilishaneni cm na mpz/mme/mke wko. ashinde nayo kwa leo2, Alafu mpe ruhsa ukipigiwa apokee, nayeye akipigiwa pokea msg zikiingia azisome.
Mchunguze mwenzio kuona kama kweli.....
 
Mimi na bibi yenu mbona hatuna hayo wewe ukitaka kufa mapema na kwa maradhi ya kujitakia fuatilia vitu ambavyo havikuhusu lazima ufe mimi naacha simu mezani naenda kuoga hata kuzurura jirani na nikirudi simu iko vile vile na yeye huwa ananipa simu yake hakuna aliye na haraka na mwenzie na uzee huu tuanze kutiana pressure bure wakati ilitakiwa enzi zile anasumbua mtaa mzima ndiyo niwe na wivu
 
WACHEPUKAJI WENGI WANATABIA HIZI

1.Hachezi mbali na simu yake kila wakati.

2.Inbox na sending items hufutwa kila wakati.

3.Ukimuomba simu yake ghafla lazima akwambie hebu kwanza.

4. Kamwe haiiti always vaibration.

5. Namba nyingi ha save.

6. Kuna simu hapokei hata iweje anapenda sms zaidi.

7.Majina mengi kwenye simu yameseviwa kwa majina ya kufikirika.

8.Muda mwingi ni mtu wakujihami.

9. Anapenda password na anabadili mara kwa mara.

10. Akiazima simu yako, akitumia tu anafuta deal no haraka.

11. Always yuko na simu hadi bafuni ikibidi.

12. Anajazba ukimuuliza chochote kuhusu simu anajishtukia.

13. Akiwa anachati anakuangalia mara kwa mara kiwiziwizi.

14. Hana jeuri ya kukuweka profile picture na akikuweka humalizi masaa anakudampu huko.

&[HASHTAG]#55357[/HASHTAG];&[HASHTAG]#56833[/HASHTAG];&[HASHTAG]#55357[/HASHTAG];&[HASHTAG]#56833[/HASHTAG];&[HASHTAG]#55357[/HASHTAG];&[HASHTAG]#56833[/HASHTAG];
100%
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom