Mr Alpha
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 203
- 572
Mimi ni mwanamume, nina mke na watoto wawili, naipenda sana familia yangu. Mimi ni mfanyakazi na katika kazi ninayoifanya huwa natoka saa kumi na mbili jioni na hupendelea kurudi nyumbani mapema.
Mke wangu ni Mhasibu tena CPA holder kabisa, ninampenda sana, kiukweli napenda sana muda mwingi kuwa naye karibu.
Miaka mitatu ya uchumba na mwaka mmoja sasa katika ndoa, naweza nikakubali kwamba hivi sasa nimemchoka. Sababu kubwa ya kumchoka ni kutokana na yeye alivyobadilika tofauti na mwanzo.
- Anatoka kazini mapema lakini anachelewa kurudi nyumbani, wakati mwingi hurudi saa sita za usiku na mimi ndiye ninayemfungulia mlango! Nilishawahi kuzungumza naye juu ya tabia yake lakini hakunisikkiliza.
- Anakaa bar na mashoga zake huku wakinywa pombe, yaani hana muda na watoto. Tabia hii inanikera sana na bado napata maneno mengi sana yanayomuhusu yeye kuwa anamahusiano nje inaniuma sana.
Nimefirikira kumwacha lakini.....!