me cpendezwi na hyo avatar yako!Wana JF,
Kuna tabia tofauti tofauti humu JF, za Members!
Kama wewe ukiwa mdau wa JF, Members gani wanakuvutia kwa tabia zao nzuri. Na Members gani upendezewi na tabia zao!
Mimi binafsi Members wanaonivutia kwa tabia zao.
Katavi, Sweetlady, wewe je endeleaa
hawa ndio ndugu lawamame cpendezwi na hyo avatar yako!
haijabeba uafrika kabisa nadani yake.
wani afrika kuna mabaya tu??
Mie nimekufa nimeoza juu yako :rapture:
Mkuu unataka niweke avatar ya watu wanakunywa bia na mbuzi? kwani hayo mambo waafrika wamesingiziwa? ndio zao la viongozi wetu wa africame cpendezwi na hyo avatar yako!
haijabeba uafrika kabisa nadani yake.
wani afrika kuna mabaya tu??
Ni kweli tabia zinajulikana kutokana na yale tunayoyaandika hapa...N wewe unasemaje kwa hili?
Wewe ni mbishi na mtata, kitu hata kama hukijui unabisha.....ahahahahaah!!Wapi wewe!umechemka,utamjuaje mtu kwa hoja za humu jf?
Wewe ni mbishi na mtata, kitu hata kama hukijui unabisha.....ahahahahaah!!
Mkuu, nadhani wewe bado mgeni humu jamvini, ukikaa miezi miwili utaanza kuzijua tabia za members humu JF!Wapi wewe!umechemka,utamjuaje mtu kwa hoja za humu jf?
Wapi wewe!umechemka,utamjuaje mtu kwa hoja za humu jf?
Afrodenzi, ebu ni-PM members wawili ambao upendi tabia zao!Wanani vutia wadada / wanawake
Wote....
Genekai asante..
Katavi sante kwa kuwakaribisha
Wageni..... Nakuheshimu sana kwa hilo..