Tabia za akina dada zinazonikera!!

kuvaa long winter leather boots wakati mjini ni joto na jasho tupu
 
Usiombe akutane na wewe maeneo hayo utakoma kumfahamu lazima akupige sindano na unakuta anakunywa sijui cocktail inaitwa 'Colorado moth...f...c.k..r'. Mara sijui kaagiza popcorn utakoma.

Wengine utawasikia naomba uninunulie sex in the Beach.. Mi situmii hizi local bear!
 
Ndugu yangu mengine hata sie wanawake wenyewe hatuyapendi kama Lipstic na wigi ila ndo fassion sasa tufanyaje ili tusionekane washamba! Twajipaka tu!

Wazungu wanahonga sanaaa, we kubali kataa, wazungu bonge ya dili ukimfuma wa maana!

Wanafunzi lazima niwadharau manake wanajionaaa kama hizo akili zao zinaliwa! Kufaulu kidogo tu Jitu lishajiona kama Isac Newton au Faraday au hata Lord Keynes na Irving Fisher!!! Msheeeeeeeew! Mi napenda kuwaremind the awfal truth they are just piece of shit in real world! Hawana lolote! Kazi kusaga lami tu!

Kama nachokula ni Classic na wewe ni mshamba lazima nikutoe ushamba kwa kukuforce kula classic cuisines! Bila bakora mnaenda nyie vidume wa siku hizi! Thubutuuu yenu! Watu tuko sehemu za maana unaagiza Chips Kuku!!!!! Kula kuku na umma kwenyewe hujui! Ndo inabidi kuepusha aibu nikuagizie fillet manake zinalika kwa uma kirahisi!

Kuna unene na Curves! Unene wa ovyo ovyo kama kiroba pia mimi siuungi mkono, ila curves ndo mpango mzima!

1st time lazima nilete pozi na makuz coz watu wengine shobo zimewajaa, ukijifanya kind na charming unaweza kufungiwa vioo au usijibiwe kabisaa ukaonekana unajipendekeza! Dawa ni kula cobis, mtu akikuanza kiungwana ndo narudisha uungwana! Mjini hapa Silaha Pesa, bastola zigo tu!

Mapaja yangu nikiacha wazi haikuhusuu, Coz najua lazima uyacheki yalivyonona ndo maana nakuorishia! Bila kuoneshwa sample ya zigo mnaingiaga line kiurahisi! Thubutu yenu! Dawa ndo hiyo kuwapa trailer kidogo!

Kulewa kama pesa huna ofa ulinipa ya nini? Siku nyingine chukua wanafunzi wanaokunywa juice! Wengine pombe stimulator tu wala sio kilevi!

Sema foundation cheap stuff ndo zinaboa, Ila kitu ya Marry Kay let me not mention the price ukipaka lazima uonekane wa kino, na hujaja mujini na basi!

Thanx madam!!!
 
Mary Kay is cheap!!! Ndio among those cheap products mnajikandika midomoni hadi mnaboa
You should upgrade to Estée Lauder etc
 
Back
Top Bottom