Tabia za akina dada zinazonikera!!


Wanawakamata kichizi hapo, mnafanywa "mateja" wakati Apple wanaingiza mabilioni.

Worse still mtu anajishaua kununua kila kinachotoka hata kuitumia hajui.
 

Siamini kama ni wewe ndo umandika hapa!!!!!!!!!!!! Khaaaaaaa! I take back my words!

Hao wasiojua kufloss wa wapi coz hata kwetu uswazi tunatumia Uzi wa 150 tena unafanya kazi nzuri kuliko hata hiyo flossing, na meno ya njano dawa yake mkaa mbona yanawaka!

Plus kuwa na kabima cha dental msijishaue sanaaaa! Wengine hawana ndo maana kwenda pale Zamu dental clinic kwa French dr, weekly au monthly kufanya check up na general clining ya kukwanguliwa utoko kwenye fizi na mambo ya electric tooth brush kwao ni mtihani!

Ila kama we mwanaume hujui hivo vitu mie mdada vinipressure vya nini? Nisingekuwa na Diamond Insurance Package kwa hisani ya Ofisi yetu sugu hizo Dental za ukwee ningesikiaga tu! Cut people some slack not all can afford!

Najiuliza kabla hjamkiss demu mpya lazima akupe dental record yake kwanza! LOL!
 

Acha woga mkulukulu!!!!!!!!! Kama you cant afford pack n go baby! I aint lowering ma standards cause you cant make shit happen!

If you cant get me what i want, then you aint good enough for me, Ill get another man who will get me that n more! Dnt forget to close the door behind you when you leave!
 

Hakuna cha be real wala nini, lazima kwenda na wakati! If BB is outdated a sister needs the I technology why not? If i cant afford it, ill think who should i get who can get me the expensive shit!!!!!!!

This life is too short kusubiri mambo yatokee yenyewe! You have to make the shit happen!
 
Mi napita kimyakimya
LARA1 atawamudu wote humu sina shaka kwa hilo
 
Last edited by a moderator:
Demu anatokewa na mtu anajishaua huku anawaambia friends zake "Mimi kwa yule? Over my dead body". Baadaye anamkubali.
 
Wazungu wa wapi wanahonga sana? Au wazungu wa Bongo? Akikupa dola $50 unaona nyingi kwa sababu unai-convert kwa shilingi.
Waafrika ndio wahongaji wakubwa, sema bahati mbaya wengi hawana hela, wenye hela wanahonga haswa. Wazungu sidhani.
 

Una IQ ya kufa mtu,nipo tayari kukupa dada yangu!
 
Wazungu wa wapi wanahonga sana? Au wazungu wa Bongo? Akikupa dola $50 unaona nyingi kwa sababu unai-convert kwa shilingi.
Waafrika ndio wahongaji wakubwa, sema bahati mbaya wengi hawana hela, wenye hela wanahonga haswa. Wazungu sidhani.

Weweeeeeee! Hapa Bongo wadada wanaoishi maisha nyota 5 ni kwa hisani kubwa ya wazungu! Tena ukimzalia umemaliza kila kitu!

Watu wanajengewa mi residence ya ukakika sio vijumba, watu wananunuliwa apartments huko masaki, acha bata wanaloteketeza!!!!!!! Watu wanazunguka dunia kula bata tu, mara leo wako huku kesho kule, Dubai chooni tu, London chumbani, Paris barazani! Achia mbali Suala la Mikoko ya maana, kama hapa Dsm ukimtoa Delina na Jesica MSD wanaomiliki mikoko mikali 90% ni kwa hisani nzito ya wazungu!

Waafrika wenyewe residence na apparments! Bata la maana labda akupeleke bar mnywe bia! Akikutreat sanaa hapo Bagamoyo kamaliza!

Ila wazungu kuwafaidi inabidi uwe na kismati ati, lasivo itakuwa bora uchukue kaka zetu!
 

Tatizo unafanya biashara ya nipe nikupe, hata mtu akitaka kukupa zaidi ya unachotaka unamchafua.

Kuna demu mmoja hivyo hivyo, jamaa ana fwedha nzuri, alikuwa ana nia ya kufanya makubwa na demu, siku ya kwanza kukutana na demu demu kamtajia bei ya upapa.

Jamaa akaona mambo yenyewe kumbe biashara, akasepa.

Ndo habari unazoleta wewe hizo.

Tatizo class haifundishwi. Demu wa hashuo hata kumpiga intro summer vaca viwanja vya Hyannis Port na Martha's Vineyard inaweza kuwa kazi, macho juu ati.
 
umeua mkuu. Mwanaume kuhonga ni wajibu lakini mwanamke nae akianza kuendekeza dhiki za kijinga sijui ninunulie voucher ya simu oooh naomba hela ya daladala that's a big turn off
no love without money in dis world
 

Nashukuru kuona kuwa umeshakiri na umeliona hilo hapo kwenye nyekundu. Manake mnavyoshobokea wazungu hata GYPSIES ama HILLBILLIES ni mtama kwa wadada wa kibongo
 
Gold digger!
 
 

So, are you gonna jump in bed with guys and tarnish your dignity just for the sake of iPhone????? How silly is that? No wonder HIV still kills in Africa
 
hee yamekuwa haya!
lakini imeonyesha wewe unadeal na females(nasisitiza females sio wanawake) wa aina gani!
kazi kwao wenye madongo yao!
ila Karucee umetibua nyongo za watu huku sis!lol
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…