Halafu wengine mimaziwa imelala full kuipiga Tanganyika jeki. Mkorogo umedunda vidole kama mchimba kaburi.
Halafu first date then anaanza kuleta invoices bila aibu, si hata usubiri uliwe kidogo.
Kigugumizi Au ndo msisitizo??Baaaas...!!!!
4, 5, 5, 11... Hizo namba brother hujakosea yani mulemule...
Dah..!! Kama 2likuwa 2nafikiri wote..©
Halafu wengine mimaziwa imelala full kuipiga Tanganyika jeki. Mkorogo umedunda vidole kama mchimba kaburi.
Halafu first date then anaanza kuleta invoices bila aibu, si hata usubiri uliwe kidogo.
umeua mkuu. Mwanaume kuhonga ni wajibu lakini mwanamke nae akianza kuendekeza dhiki za kijinga sijui ninunulie voucher ya simu oooh naomba hela ya daladala that's a big turn off
7. [COLOR=#ff0000]Harufu ya mwili hasa kwapani na maeneo nyeti[/COLOR]
8. [COLOR=#ff0000]Harufu ya mdomo[/COLOR]
Hahahahah wenye hela za mawazo utawajua 2!
Kuvaa sleeveless halafu kwapa hujashevu....au umeshevu juzi sasa nywele zimeanza kuota. Nasty.
Namwachia Nyani Ngabu ata-respondNdugu yangu mengine hata sie wanawake wenyewe hatuyapendi kama Lipstic na wigi ila ndo fassion sasa tufanyaje ili tusionekane washamba! Twajipaka tu!
Wazungu wanahonga sanaaa, we kubali kataa, wazungu bonge ya dili ukimfuma wa maana!
Wanafunzi lazima niwadharau manake wanajionaaa kama hizo akili zao zinaliwa! Kufaulu kidogo tu Jitu lishajiona kama Isac Newton au Faraday au hata Lord Keynes na Irving Fisher!!! Msheeeeeeeew! Mi napenda kuwaremind the awfal truth they are just piece of shit in real world! Hawana lolote! Kazi kusaga lami tu!
Kama nachokula ni Classic na wewe ni mshamba lazima nikutoe ushamba kwa kukuforce kula classic cuisines! Bila bakora mnaenda nyie vidume wa siku hizi! Thubutuuu yenu! Watu tuko sehemu za maana unaagiza Chips Kuku!!!!! Kula kuku na umma kwenyewe hujui! Ndo inabidi kuepusha aibu nikuagizie fillet manake zinalika kwa uma kirahisi!
Kuna unene na Curves! Unene wa ovyo ovyo kama kiroba pia mimi siuungi mkono, ila curves ndo mpango mzima!
1st time lazima nilete pozi na makuz coz watu wengine shobo zimewajaa, ukijifanya kind na charming unaweza kufungiwa vioo au usijibiwe kabisaa ukaonekana unajipendekeza! Dawa ni kula cobis, mtu akikuanza kiungwana ndo narudisha uungwana! Mjini hapa Silaha Pesa, bastola zigo tu!
Mapaja yangu nikiacha wazi haikuhusuu, Coz najua lazima uyacheki yalivyonona ndo maana nakuorishia! Bila kuoneshwa sample ya zigo mnaingiaga line kiurahisi! Thubutu yenu! Dawa ndo hiyo kuwapa trailer kidogo!
Kulewa kama pesa huna ofa ulinipa ya nini? Siku nyingine chukua wanafunzi wanaokunywa juice! Wengine pombe stimulator tu wala sio kilevi!
Sema foundation cheap stuff ndo zinaboa, Ila kitu ya Marry Kay let me not mention the price ukipaka lazima uonekane wa kino, na hujaja mujini na basi!
Wana haki ya kujipodoa kwa hiyo mie sioni tatizo na jeki (as long as inapigwa ndani kabla ya kutoka nje)
Hiyo habari ya kutangaziwa shida siku ya kwanza mtu ukose hata hamu inaitwa "hashuo".
Namwachia Nyani Ngabu ata-respond
Code:7. [COLOR=#ff0000]Harufu ya mwili hasa kwapani na maeneo nyeti[/COLOR] 8. [COLOR=#ff0000]Harufu ya mdomo[/COLOR]
Du Mie sijawahi kutana na wa design hizo,ila kwa hapo umewaonea bwana ila hizo nyingine zote 100% ,lkn hapo nope mademu ndio wasafi sana labda naokutana nao mimi,au unakutana na ma-house girls aka Mercury(Hg)
Hahaaaaaaaaaaaaa! Nyani Ngabu ni Itallect huwezi kumuona kwenye mada za mavumbini kama hizi! Ingekuwa za wall street ungemuona!
Kupeleka invoice siku ya kwanza wala sio Hashuo ni kutaka kujua we are on the same page plus we are talking the same language!!!!!!! Mmabo jitu umekaa nalo miezi sita ndo unstuka bahili siyapendagi kabisaaa! Miezi yote hiyo unajiona umepata Bonge la Bwana kumbe una mfano wa bwana tu! First things first, always!