Ila kuna watu mna moyo,mie hata huo muda wa kujibizana nae kwa sms nisingeupata!!!
Juhudi zote hizo ulizofanya za kutuma msgs na kupiga simu ukaambulia matusi na bado uwe na wasiwasi!
Labda kama alipewa roho aniletee baada ya kuambiwa yangu ina expire in a day!!
Halafu zinatoka kwa mdogo wa boy friend imagine!
Huyo mume tu akitaka kunionyesha dharau za hivyo azifunge zikaze!!!!
Hapo najiuliza mdogo wa boyfriend kajiamini nini mpaka anamjibu hivyo shemejie....maana nijuavyo Mie nidhamu lazima iwepo
Kisayansi unakuwa hujanasa kwenye ulimbo
Hapo najiuliza mdogo wa boyfriend kajiamini nini mpaka anamjibu hivyo shemejie....maana nijuavyo Mie nidhamu lazima iwepo
Yaan wakat hata sna mazoea nae khvo...yaan kla mtu ana namba za mwenzie lakn hata salam hatukuwa na mazoea khvo..I wonder why all this happened. .
Halafu zinatoka kwa mdogo wa boy friend imagine!
Huyo mume tu akitaka kunionyesha dharau za hivyo azifunge zikaze!!!!
that's my wiii lol
Upo wii?
Ulza mum hata usiwd na shaka ntakujbu
nipo nimekumisije naona cheche zako hapa
Aaagh.m namuona mshenzi tu yaan..yaan namuona mpuuz kabsaa
We mgeni nini?.Hapa Dar foleni ikiwa kubwa kutoka Mabibo hostel hadi Ubungo ni masaa sita.Inaonesha ulshamchukia Shemeji ako hata angewahi we ungesema mzigo kaufunga vibaya.
Miss you pia!!
Kuna vitu vinatia hasira ujue!!!
Wewe ukitumwa uniletee funguo utafanya huo ujinga?!!!!LOL