Tabia ya rafiki yangu inanishangaza


kaolewa na ana watoto wa tatu
 
ana sehemu ya kulala? usikute anaungaunga kuupitisha usiku.
 
alibi ni nini?

Alibi ni pale mtu anapofanya jambo mahali lakini akatoa ushahidi kwamba yupo sehemu nyingine. Sasa kunachothibitisha ndio alibi yaweza kuwa mtu au picha kwamba mda wa tukio ulikuwa sehemu nyingine tofauti.
 
Pengine anategea aje kulala kwako ili iwe rahisi kuonana na mumeoa
 
Haswa hilo ndio chezo alimchezea huyo rafiki yake. Hakuna kuwanga au nini. wewe anatoka kwenye michepuko anapitia hapo kwa rafiki yake chap na kuchomoka ili akirudi kwake anasema nilikuwa kwa jirani, Na ndio maana anamtaarifu mapema wakati anaaga mume. Wanawake waache waitwe wanawake wana mbinu nyingi sana. Ila kila lenye mwanzo halikosi mwisho, atakamatwa tuu. Huyu rafiki yake akitaka kumkamata na kuhakikisha hicho ulichomwambia afanye hivi, akimpigia simu kumtaarifu nakuja kwako yeye asubiri kama masaa 3 hivi halafu aende kwake kumtembelea yeye, kama hataambiwa mbona ameaga hapa muda mrefu anakuja kwako!!? zen ze moviiz starts from zea.
 
Heeeee

Yaani mtu ajr saa nne usiku kwako unamruhusu?

Whaiyiiiiiiiiiiiii..... mie ningemwambia tu sasa hivi nimelala usije. La nikimfungulia mlango nameambia kabisa nina dakika 10 tu za kujusikiliza nataka nikalale.

Tabia mbaya sana
 

Mama wewe mzoeze tu, utastukia anakuambia hiyo habari!! Inakuwaje unamruhusu kumsema vibaya husy wako? Akikuchosha mtimue!!
 
pole sana kwani hana mume ? , mshauri aweanakuja namume wake , akifika funga mlango ingia chumbani kwako muache sebuleni ulale na mumeo .
 
Mimi hata ukipiga simu saa nne sipokei sembuse kuja kwangu...

Saa nne ni muda wa familia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…