Wakuu za muda huu
Wakuu inapita km mwezi sasa toka nipate rafiki huyu mpya kwenye mtandao....ilikuwa hivi niliweka tangazo lakuuza gari kwenye mtandao wa Instagram pia nikaambatanisha na Namba yangu ya simu..nikapata Call nying tu..ila kuna moja akinipigia hakuwa mnunuzi yy alinipa Hi tu naakajitambulisha bs ikapita hvo
sasa wiki mbili zilizopita alikuwa.anantumia msg whtsapp zakunisalimia na kunipigisha story ukwel sikuwa nimemzoea hata kumjb haikuwa kihvyo ...mara akaanza kuntumia picha ukwel nikashangaa..unaanzaje kumtumia mwanaume mwenzko picha..bs nikanpotezea...usiku anapiga simu anachoongea hakieleweki.
Sasa leo nimestaajabu ya musa..kantumia Msg et "I miss you my Friend""
Wakuu hivi unaanzaje kumuambia mwanaume mwenzako i miss you
Asije kuwa chakula huyu
ntamuepuka vipi...Huyu rafiki