ndoa ngumu lakini...sijui kama nitaweza
kila siku ndoa ndoa ndoa ndoa mi nimeghaili kama hali ndo tete hivi,jahazi la ndoa limezama upande mmoja kila mtu anajitahidi kupiga mbizi afike nchi kavu dah:fear::fear::fear:jitahidini kuvunja ukimya ndani ya nyumba ili kupunguza madukuduku moyoni wapendwa.
mpeane space jamani? kila siku unataka hata humuachi mtu kuwa na njaa?
asubuhi..usiku mara 3 bado kazi na stress za dunia hiyo hamu ataitoa wapi?.......mpe likizo mkuu atarudi na appetite hadi mwenyewe utakimbia
ndoa ngumu lakini...sijui kama nitaweza
Asnam............Hakuna haja ya kughairi wala kuhofu ndoa ni haki yako... haikimbiliki n lazima kupitia na kupambana na mazngira yake.... lakini kero zinaanzia upande mmoja ambao mmoja akigundua tatizo hana bud kulitatua leo ni kero zinazofanywa na wanawake kero za akina baba itafuatia... swala ni kuwajbika kwa kila mtu pasipo na manung'uniko
Pole sana ni wimbo tu.
naomba unijuze unahusu nn kama hutojali.
Ongeza bundle uusikilize mwenyewe japo kwa dakika moja tu ndio itakuwa bomba.