story kama hii ilishakuja humu jamvini; ningekuwa kama EMT ningeweza kuifukunyua na kuweka link.
Tabia ya mwanume kununa from know where naichukia sana ,akinuna na mimi nanuna mpaka atakapoamua kuacha na lazima aseme kilichomnunisha ,hapo kuna tatizo kuna kitu ila nduguyo hajakuambia vizuri
Story kujirudia siyo mbaya sana. I always say kama umekumbwa na tatizo, you are not the first one to face it. Tatizo liko tuu pale mtu anapoomba ushauri kwa ajili ya tatizo fulani halafu next week anakuja na thread nyingine ya kuomba ushauri ambao ni completely the opposite ya alioomba last week.
Mfano kuna member alianzisha thread titled: "Anataka kunikimbia....kisa....eti simfikishi kilimani!" Kwenye thread aliandika:"Jamani nimetumia akili, nguvu, juhudi, jitihada, maarifa na kila kitu ili mradi tu afurahi; lakini sina hakika kama nimegonga mwamba au ni kwamba ameamua tu kuniumiza. Ndio kusema hanitaki? Au anayoyasema ni kweli! Sasa nyumbani kimenuka, na hataki tena nile. Hapa ameniambia nimtafutie nauli aende zake! Kumpenda nampenda, nifanyeje?"
Kesho yake tuu member huyo huyo akaja thread nyingine titled: "Mwenzi wangu anatoa ukelele. majirani wanadai tunawasumbua hawalali eti tuhame". Kwenye hiyo thread aliandika: "kwa kweli kwenye shuhuli anatoa ukelele wa hali ya juu. sasa majirani wamecharuka wanadai tuhame tunawakaraisha. nimemsihi mwenzi wangu apunguze lakini anadai hafanyi makusudi anapokaribia mshindo tu ndo huwa balaa. Nifanyeje mwenzenu na kesi tayari ipo kwa mjumbe majirani wamecharuka."
Inaelekea JF ina washauri waliobobea kwenye haya makitu to the extent kwamba mtu anakuja hapa kuomba ushauri wa kumfikisha mywaifu wake kuliko, anapewa huo ushauri, anenda kuufanyia kazi usiku mmoja tuu mpaka majirani wanapeleka kesi kwa mjumbe.
Surely, hawatashindwa kumshauri hata huyu aliyeleta hii mada.

nachukia sana pacha wangu eti mtu from know where ananuna ???mwanamme rijali dah naishiwa na nguvu kabisaaaaaPacha hii kali. akinuna nawe wanuna duuuu hapo ngoma droooooooooooooooooooooooo
nachukia sana pacha wangu eti mtu from know where ananuna ???mwanamme rijali dah naishiwa na nguvu kabisaaaaa
hapo ndo umuhimu wa mwanamke kuwa na kipato unapoonekana...angeziba gap bila kumuomba....
pia si kaamua kujinunia mwenyewe?
Saa nyingine dawa ya moto ni moto.....
Akinuna wewe jipare vizuri fanya yako.....
Weekend jitokee zako nenda hata coco upunge hewa kuepukana na ghubu la mume......
Kitandani usimguse na siku akitaka unyumba wewe ndo uwe umechoka.......
Baadhi ya mijanaume ikijua wake zao wanawapenda hugeuka vigego...
Anyway je kabla hawajaoana mwanaume hakuwa na tabia hizo? Ina maana ndugu yako hakuziona?
Kuhusu kuwapa hela kwao sometimes wanawake msimind mambo madogo madogo si anasaidia kwao mradi hajaneglet majukumu yake tatizo liko wapi? Hata akimnunulia baba yake chupi mke unataka kujua?
Tabia ya mwanume kununa from know where naichukia sana ,akinuna na mimi nanuna mpaka atakapoamua kuacha na lazima aseme kilichomnunisha ,hapo kuna tatizo kuna kitu ila nduguyo hajakuambia vizuri
EMT i salute you my boyKununa si jawabu. Pia kubaki kimya si jawabu. Hata hivyo, kuna tabia ya watu wengi kuhusisha suala la kununa na hata kususa na wanawake pekee.
Mfano katika makala ya huyu mtaalam wa mahusiano (social welfare counsellor) anaongelea kununa na kususa only in relation to women: Tabia ya Kununa ovyo huharibu mapenzi. . Je, wanaume hawanuni na hata kususa?
Naturally, wakati mwanamke akiwa down, huwa anataka mtu wa karibu kuongea nae. Kama yuko kwenye mahusiano, her partner will be the most suitable person.
Kwa hiyo mwanamke anaponuna au kususa, automatically mwanaume anawezadhani kuwa kuna kitu, because naturally when a woman is down huwa anataka mtu wa kumsikiliza na siyo kununa au kususa.
Hata hivyo, kwa upande wa wanaume, when we are deep down, we want to be alone. When we are deep down, or some shit has happened to us, it is time for women to go shopping. The more she keeps asking him "niambie kuna tatizo gani" the more she will make things worse.
When a man is down, mwanamke anaweza kudhani bila hata kujua kuwa he is being stubborn. Hata hivyo, inapofikia mpaka stage ya kumfokea mwanamke mbele za watu, kutojali wakwe au mashemeji, then that is a bit too much. There must be a problem. Inawezekana ikawa siyo tena kuwa down, bali ni dharau au kukosekana kwa heshima.
Inabidi tuwakutanishe na Lyaule Kitundu