Tabia ya mtu haibadiliki

Akili itakurudi tu kama ni ukichaa ulioupata ukiwa mkubwa. Dawa zipo, na moja wapo ni hii ninayokunywesha wakati huu.
 
Mkuu Kama umenisoma na hujanielewa Kama unaakili timamu unashindwaje kuiruka comment yangu na kuendelea na Mambo yako? Au inalipwa kwa kusoma,kuedit na kutranslate kila comment humu ndani ya jamvi? Kama si hivyo Basi probably you are out of your mind
Naona dawa inaanza kazi.

Sasa tulia usiwe na kiherehere tena cha kurukia tu na ku'quote' yaliyoandikwa bila ya kuelewa ulichosoma.
Unakimbizwa na nani, au una mashindano ya kujaza uharo wako humu jamvini?

Usivyokuwa na akili, sasa unalalamika mimi nisisome uharo wako, na kumbe unaharishia kwenye niliyoandika mimi. Nikikueleza unamatatizo kichwani unalalama kama kichaa!
 
Du umenichekesha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…