Paramagamba
Member
- May 12, 2017
- 85
- 130
Bado unajifunga tu wewe, Kama ni serrings au labda unacancel au kupause au kublock manually kuna haja gani ya kuzima data?Kumbuka sio wote wazembe. ...
Kuna settings zinakuruhusu kufanya vingine manually. ....
Ni kweli kabisa!Charge ndyo tatizo mkuu, tatizo sio bundle! Pia kumbuka kuna watu hawana kazi kwenye baadhi ya groups wanna chat muda wote, hivyo wanasumbua. Nibora uwashe data muda ambao utatumia/kusoma message na emails
Saa nyingine kuzima data sio kusevu data bali ni kusevu betri isidtain haraka maana kuna sehemu data network ni hafifu thus inamaliza betri bila sababu. Na ndo maana simu zina mode mbalilmbali za power.Alafu unajiona mjanja kwamba eti umezuia charge na bando lisitumike sana wakati muda utakaowasha data tu mwendo ni ule ule tena ndiyo utakuwa umesababisha mafuriko makubwa kwa sababu:
- Kama ni meseji za whatsapp, imo na mitandao mingine zitaingia zote kwa mkupuo
- Kama ni emails zitaingia zote kwa mkupuo.
- Kama ni notifications zitaingia zote kwa mkupuo.
- Kama ni alerts zitaingia zote kwa mkupuo.
- Kama ni downloads zitaendelea kushuka zote kwa mkupuo.
Yani chochote kile ambacho kilitakiwa kuingia ukakizuia kwa kuzima data kitajipanga kwenye foleni ukiwasha tu data, kimo. Huna pa kutokea. Ndiyo maana mtu anashangaa alikuwa na kifurushi lakini kimeisha ndani ya sekunde 10 anabaki tu kuwalaumu tigo, voda, airtel, ttcl, halotel, smart na wengine wote kumbe ni USHAMBA wako tu.
Najua nitakuwa nimerusha mkuki kwenye giza, mamilioni wanavuja damu huko ila naomba mnisamehe. Kuzima data ni bora uuze smart phone ukanunue ile ya tochi.
Kivipi? Ndio maana nikasema sio wote wazembe. .... kwenye akili yako unafikiri kila mtu anazimaga DATA huh?Bado unajifunga tu wewe, Kama ni serrings au labda unacancel au kupause au kublock manually kuna haja gani ya kuzima data?
Unaweza ku mute group kaka kwenye settings za whatsapp ipo.Charge ndyo tatizo mkuu, tatizo sio bundle! Pia kumbuka kuna watu hawana kazi kwenye baadhi ya groups wanna chat muda wote, hivyo wanasumbua. Nibora uwashe data muda ambao utatumia/kusoma message na emails
Upo juu...Wengine ni wi-fi tu 24hrs
Wewe ndio mtumiaji wa smart phone.Sijawahi kuzima data na sitawahi itajizima yenyewe kifurushi kikiisha
Anhaa sikukuelewa. Hapo sasa umeeleweka.Kivipi? Ndio maana nikasema sio wote wazembe. .... kwenye akili yako unafikiri kila mtu anazimaga DATA huh?