Tabia ya kuweka vitoto vidogo kuuza duka

Tabia ya kuweka vitoto vidogo kuuza duka

Badala ya kuboresha hizi sheria watu wanakazania serikali 3.., hovyo kabisa..

Au 2 na kikao kinakuwa kama hakina mwenyekiti, full kuzomea, mipasho na vijembe tu huku wanateketeza mamilioni ya shilingi kwa siku, akili au matope?
 
Hao watoto mnadhani wananyaswa wengi wao wakifisha miaka 18 nao wanamiliki maduka yao labda kama hajatoka kilimanjaro akifisha miaka 30 anakuajiri wewe uliyekua unakalia dawati kwa mshahara anaotaka yeye.

swala ni kwamba akiwa kwenye umri huo mtoto anatakiwa kupata haki ya kupata elimu,kucheza na hata kupumzika. pia hata sheria ya kazi na ajira(the Employment and Labour Relations Act,2004) S.19 imetaja masaa ya kufanya kazi kwa siku mwisho ni 12hrs na kama muajiri na muajiriwa wamekubaliana kufanya kazi kwa masaa ya ziada(overtime) basi hayo masaa yasizidi 50hrs in a 4 week cycle.S.20(2)(c) ya sheria hiyohiyo imekataza mtoto chini ya miaka 18 kuajiriwa usiku.Kitendo cha hao watoto kuuzishwa maduka mpaka hiyo mida ya usiku mfn. hiyo mida ya saa saba usiku huo ni ukatili ,unyanyasaji kwa hao watoto na pia ukiukwaji wa sheria.
 
swala ni kwamba akiwa kwenye umri huo mtoto anatakiwa kupata haki ya kupata elimu,kucheza na hata kupumzika. Pia hata sheria ya kazi na ajira(the employment and labour relations act,2004) s.19 imetaja masaa ya kufanya kazi kwa siku mwisho ni 12hrs na kama muajiri na muajiriwa wamekubaliana kufanya kazi kwa masaa ya ziada(overtime) basi hayo masaa yasizidi 50hrs in a 4 week cycle.s.20(2)(c) ya sheria hiyohiyo imekataza mtoto chini ya miaka 18 kuajiriwa usiku.kitendo cha hao watoto kuuzishwa maduka mpaka hiyo mida ya usiku mfn. Hiyo mida ya saa saba usiku huo ni ukatili ,unyanyasaji kwa hao watoto na pia ukiukwaji wa sheria.
swadakta....!
 
Back
Top Bottom