Tabia ya kuwapiga watoto sio nzr!!

Tabia ya kuwapiga watoto sio nzr!!

nyaropio

Member
Joined
Mar 26, 2015
Posts
93
Reaction score
39
Kuna jirani yangu usiku huu anamchapa mtoto mdg nadhani ana miaka km mitatu mtoto analia mpk moyo unaniuma lakini nashindwa tu kugonga ntaanzia wapi!!
 
Niko Buzuruga Mwanza, nimepanga asbh kukikucha vzr ntaenda kuzungumza na huyo dada km asiponielewa nitamshtaki kwa mtendaji wa kata maana kila siku anamchapa mtoto km sio usiku basi alfajiri nadhani huwa anakojoa sijui lakini mtoto ni wake wa kuzaa.
 
ni tabia tu za ukatili wakizeeka wa hivo wanakuwa wachawi.
 
Niko Buzuruga Mwanza, nimepanga asbh kukikucha vzr ntaenda kuzungumza na huyo dada km asiponielewa nitamshtaki kwa mtendaji wa kata maana kila siku anamchapa mtoto km sio usiku basi alfajiri nadhani huwa anakojoa sijui lakini mtoto ni wake wa kuzaa.

Buzuruga pande zangu hizo.

Pale Buzuruga Plaza nina mishe mishe yangu kadha wa kadha.

Ila kuna watu hawastahili kabisa kuwa wazazi au walezi wa watoto.

Hata kama mtoto anakojikojolea ufumbuzi wa tatizo siyo kumpiga.
 
Tena usiku wote, angeliacha amuonye asubuhi, kama anaona kero kukojolewa na mwanae amtaftie kitanda chake.
 
Halafu Mtoto Wa Miaka Mitatu Kukojoa Kitandani Mbona Bado Ni Wakati Wake!Kuna Umri Akifikia Automatic Tu Anaacha Kukojoa Kitandani!
 
Nimejaribu kumwelewesha leo asbh kwa maelezo yake anadai amenielewa pamoja na kwamba analalamika kuwa mtt ana maudhi ya kukojoa duh wamama wa uswaz nooma ngoja nimsikilizie siku ya kesho km atarudia kumpiga tena nichukue hatua
 
Basi amnunulie pampas kama hataki kokojolewa ila huyo bado mtoto watu wanakojoa vitandani hadi darasa la saba amvumilie coz huyo ni mwanao tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom