Habari wadau!! Hii tabia imekuwa unanikera mfano mtu anaitwa juma ana watoto 5 basi kila mtoto akizaa mtoto anatakiwa mzae jina la babu yake (juma) mtoto mmoja wapo utafikiri majina yameisha vilee. Au jina la shangazi yake au mama yake mdogo au mjomba yake... tujifunze kutafuta majina mapya