Tabia ya kumuita mwenzio "mshamba"

Tabia ya kumuita mwenzio "mshamba"

Kwani wanaoitwa wasenge , ni kweli wote wanasengeka?.
 
habari wakuu..
haka katabia kamekuwa kawaida yetu .hivi hata kwa majirani zetu wakenya au waganda ipo?
unakuta mtu hajui kitu..labda katoka kijijini au hajawahi tumia/kuona kitu..utaskia mshamba huyu.

this isn't cool guys..
kwa kiasi fulani naona mtu kuitwa hivi inafedhehesha! hasa kama ni mtu mzima mbele ya watoto.

unamuita mshamba mwenzio we ulizaliwa unajua?
wewe pia ulikua hujui ukaja kujua!!

mi nimewahi kuwa ndani ya sebule moja na kijana mmoja kutoka nanjilinj mtwara ...kachaguliwa UDSM..alikua anatuona tu tunavyochukua maji ila haanglii tunachukuaje..ye tunamletea tu..
siku ikafika hakuna mtu..nko na yeye tu.
kijana alienda na glasi anazunguka dispencer zaid ya mara tano.anapapasa juu mara nyuma mara kushoto kulia.
pheeew

nlimsaidia lakini.sikumuita mshamba

acheni hiyo tabia
Mimi kwangu neno MSHAMBA ni neno la kawaida mno..!
 
Back
Top Bottom