Hivi men wa Jf wana tabia kama yangu ya kupenda kuhonga??
Ninasikia raha kuhonga....hasa pale ninapofanikiwa kumnasa mlengwa (napiga mapigo ya kifashisti)
Kuna ubaya kuhonga? ur advice plz
hahah..wewe tu!nobody is tempting you..wink!hahaha dnt tempt me wewe
hahah..wewe tu!nobody is tempting you..wink!
Boflo, wanaume wenzio wanahongwa siku hizi wewe bado unahonga?
u r dhaifuhivi men wa jf wana tabia kama yangu ya kupenda kuhonga??
Ninasikia raha kuhonga....hasa pale ninapofanikiwa kumnasa mlengwa (napiga mapigo ya kifashisti)
kuna ubaya kuhonga? Ur advice plz
Mwanamme anayehongwa atakuwa ana walakin
mi nahonga nikishapata K na kuithaminisha kiwango.
km ni liquid liquid lala mbele weye
Ulipotelea wapi mwaya? nimekumic kichizi
mke haongwi........kuhonga kunakuwa na marejesho
hahaha sasa kama mimi mbona wanikonyeza