Na kinachotisha na kuogopesha hali hii mbaya ya wivu chuki na kufarahia matatizo ya mtu miongon ya jamii ya kitanzania inazid kwa kas. Hata huku denmark. Mwaka jana kijana mmoja mbongo walimdepot yani masela walikunywa pombe kwa furahana ikawa topic kwa muda mrefu sana na kumdhihak dogo halaf ni msela mwanzao just imagine
Siku hizi hadi vifo vya wengine, mfano Wadayaspora, vinafurahiwa sana.
Lakini wote huo ni ujasiri wa kwenye mtandao tu.
Dah.. ila kiukweli mimi nikisikia mtu katumbuliwa huwa nasikia sana faraja moyoni na lazima ninywe shampen [emoji4]
[emoji4]Kuna kitu nlitaka kusema. Ila hiyo ID yako imenizuia
Fanya kazi nawe ufanikiwe usitegemee hayo majibumimi mafisadi wanatumbuliwa na magufuli nafurahia sana...haya mafisadi ndio yamesababisha umasikini wawatanzania huku wao wanaishi kama wako peponi....tena inatakiwa wanyongwe kabisa...namuomba rais wangu tuwe na sherehe kabisa ya kusherehekea haya mafisadi kutumbuliwa.
Impact yake ni kubwa na hatari....Isije kutokea vita kati ya maskini na matajiri.afu maskini tukibakia kuonea gere wenye nazo ni makosa wengine ni za halali na amesotea kuzipata sio nyie kila mkiona mtu ana maisha mazuri mnadhani fisadi mmeshachapa mihuri nyoyo zenu kwa roho ya kwanini na nyie tafteni sio kuona gere tu huku umekaa kijiweni huna kazi
huu ni mfano halisi wa kiwango cha chuki cha baadhi wa watz!Ukitaka kujua ubaya wa matabaka haya mwendesha Boda Boda ajilete mbele ya gari yako kwa uzembe wake na wewe ukajitahidi kumnusuru ikashindikana yaani Bodaboda zote zilizopo hapo karibu watakuja kasi bila kutaka kujua nani alikuwa na makosa na ukilegea kidogo watachoma Gar pamoja na wewe kabisa...Huku wakisema hawa majamaa wenye magari wanajisikia sana..Very Bad..