Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,737
Tabia ya ccm kwa wananchi wake iko hivi hivi.
Alafu wanaojitokeza kukemea hili wanaitwa wachochezi wasioitakia nchi amani.................. huwa nikitafakari sana huwa nafikiria kuchukua maamuzi magumu ya kutisha dhidi ya JK na bila kumshirikisha yeyote.Tabia ya ccm kwa wananchi wake iko hivi hivi.
![]()
Kweli hiyo ni double ooh seven!
Hakuna mfano mwingine zaidi unaofanana na huu kiuhalisia.Tabia ya ccm kwa wananchi wake iko hivi hivi.
![]()
Hii inauma sana. :eyebrows::alien::alien:
ukiwa CCM UNASINGIZIW KILA JAMBO, MBONA MGAO WA RUZUKU
Kwani wamelazimishwa kuwa CCM?