Whackiest JF-Expert Member Joined Sep 13, 2020 Posts 1,309 Reaction score 1,782 Mar 15, 2021 #1 Habari za muda huu wanajamvi, ni muda sana nimeitazama movie hii ya tabia kama kichwa cha thread kinavyosema. Nimepata changamoto katika kudownlod kwani youtube haipo kama kuna msaada niweze kuipata.
Habari za muda huu wanajamvi, ni muda sana nimeitazama movie hii ya tabia kama kichwa cha thread kinavyosema. Nimepata changamoto katika kudownlod kwani youtube haipo kama kuna msaada niweze kuipata.
Gobole JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 1,807 Reaction score 4,687 Mar 15, 2021 #2 Kanunue...uwa support wasanii wetu
Whackiest JF-Expert Member Joined Sep 13, 2020 Posts 1,309 Reaction score 1,782 Mar 15, 2021 Thread starter #3 Gobole said: Kanunue...uwa support wasanii wetu Click to expand... Nimejaribu kuodder lakini bei kali 16000
Gobole said: Kanunue...uwa support wasanii wetu Click to expand... Nimejaribu kuodder lakini bei kali 16000
Analyse JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 17,638 Reaction score 47,698 Mar 15, 2021 #4 Whackiest said: Nimejaribu kuodder lakini bei kali 16000 Click to expand... Kama umeipenda nunua tu hivyo hivyo.
Whackiest said: Nimejaribu kuodder lakini bei kali 16000 Click to expand... Kama umeipenda nunua tu hivyo hivyo.
Whackiest JF-Expert Member Joined Sep 13, 2020 Posts 1,309 Reaction score 1,782 Mar 15, 2021 Thread starter #5 Analyse said: Kama umeipenda nunua tu hivyo hivyo. Click to expand... Mkuuu unitakii mema kabisa mm katika movie hiyo kuna audio moja ali play mwamba hap juu alifuga nywele baada ya kumkosa binti ndio kiini kikubwa
Analyse said: Kama umeipenda nunua tu hivyo hivyo. Click to expand... Mkuuu unitakii mema kabisa mm katika movie hiyo kuna audio moja ali play mwamba hap juu alifuga nywele baada ya kumkosa binti ndio kiini kikubwa
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 28,193 Reaction score 39,645 Apr 25, 2021 #6 Analyse said: Kama umeipenda nunua tu hivyo hivyo. Click to expand... Okay
Hechinodemata JF-Expert Member Joined Sep 16, 2016 Posts 1,487 Reaction score 3,371 Apr 25, 2021 #7 Umesha ambiwa kanunue acha maneno mengi, tupo uchumi wa kati unajua Whackiest said: Mkuuu unitakii mema kabisa mm katika movie hiyo kuna audio moja ali play mwamba hap juu alifuga nywele baada ya kumkosa binti ndio kiini kikubwa Click to expand...
Umesha ambiwa kanunue acha maneno mengi, tupo uchumi wa kati unajua Whackiest said: Mkuuu unitakii mema kabisa mm katika movie hiyo kuna audio moja ali play mwamba hap juu alifuga nywele baada ya kumkosa binti ndio kiini kikubwa Click to expand...