LIKUD as much as what you say here is true to the core, it is advised you gather your info pretty much better wth vivid examples to convince the audience. Otherwise its more or less like a rumorHii ni comment ya mtu akichangia kwenye mjadala unao husu wafanyakazi wa benki moja kutoa siri za mteja wao. Naiweka kama jinsi ilivyo .
" Mm mlioko bongo mna kazi. Sasa hao wadada wanaotoa information za wenzao mbona wanatia aibu. Kumbe eti uwa wakiona wakaka au wababa wameweka pesa mle wanachukua namba zao za simu then wanaanza kuwapigia kuwataka kimapenzi ili wawachune. Hawajali wake zao wala watoto. SHAME ON YOU sisters. Hasa huyo aliejipendekeza na kurisk kuharibu kazi yake sijui kwa sababu gani hasa. Na bank ndo ishaaribiwa jina maskini, we nani ata risk tena kwenda kuweka pesa umo!!! "
Haya ndiyo matatizo ya kuwajaza wanawake ktk shughuli muhimu kama hizi, Nitanaza campaign za kuwashawishi benki ziajiri wanaume sehemu za tller
Hawa kina mama wana risk biashara za benki pia kuhatarisha maisha ya mteja dhidi ya tindi kali
Kunahaja ya kuanzisha chama cha wanaume kutetea haki zao vyinginevyo mambo ya ki-Bitch bitch yatazidi kushamiri
hivi pale kaunta bank teller anaweza kuchungulia kwenye kompyuta yake na kujua mteja ana shilingi ngapi kwenye akaunti yake?
kuna siku nilienda kuweka million 200.wadada 2 wa bank flani walinitafuta nikajua wanataka kunichuna nikawakwepa
jameni hivi hizi siri za wateja zinazotolewa ni zipi? isije ikawa mtu kakopa kashindwa kulipa deni linamwelemea anaanza kujihami. hivi nyie tanzania hii hamuwajui mpaka leo watu wenye pesa? hao wanaosema wameanika siri zao wana za kubadilisha futari tu kutoka kwene mihogo mpaka magimbi. sikatai hii tabia ipo sana hasa kwa wale wadada wa vibandani ( tellers) msione wamependeza vile kwene vibanda maisha yao ni magumu kama wewe ambae uko kariakoo unauza mchicha tu. wanakuwa na hasara nyingi jinsi ya kuzi cover lazima wawatempt nyie ambao mnajirahis wenyewe pindi mnaisogerea counter. then na vijihela vyako kidogo ukimpeleka akemi mara moja tu ushaishiwa matokeo yake unakuja kuleta malalamiko hapa kipindi hicho ye ana transaction nyingine za million huko. msiwapende hawa dadas wa vibandani ni hatar kwa maisha yenu
inasemekana tellers wanapata mishahara ya kawaida.
Mpaka hapa tu utatafutwa deposit 200Mill yaani subiria PM