Yah!! Ukiplay Vizuri, Unaweza Kifanya Cha Pekee Yako!!!. mkuu kuchapiwa nini bna bora na mie na pewa mbona mukide tu. kwani kuna cha peke ako ckuhzi?
Mna match na team vibamia tafutaneni mfarijiane
unataka kusema na mabonge? mana flat wana rambooo
mana ya kumatch ni wakajifariji tuuu
mazee mambo za tabia dizaini kama ni uduanzi tu mana hazi play role kubwa kwa upande wa mitoko na bby mama mtoto kama anaita hata confidence ya kutembea nae kwa mtaa ni kubwa pia kuzisaka ili azidi kungaa dah shepu na sura ndo mpango tabia vijijini hukoo
Well said[/QUO
Yani hadi huruma ukiwaangalia mawazo yao yani hata stage ya chuo anakuwa anajua maana ya maisha huyo ni form four nahisi duh! Wanafikiri maisha ni kuwa kama wasanii yeye anawaza kutinga kama Daimond na baby mama wake nusu uchi
Yah!! Ukiplay Vizuri, Unaweza Kifanya Cha Pekee Yako!!!
Believe!!!Thubutuuu.....