Tabia nzuri imenilipa

Wacha wee...........naona unadanga.......
 
Huyo mwanamke wa kwene picha na yeye anatabia nzuri
au tusubirie uziwako mwingine ukiomba ushaur kwa kua yamekushinda [emoji19]
"Easy Comes Easy Goes"
 
Kuna haja ya watu kupimwa akili kabla ya kuvuta bangi,unajua bangi ni kama maharage tu,kama una vidonfa kichwani lazima ifanye yake ya maajabu.
 
Nakuhakikishia utakuwa na matatizo sema hujijui
 
Mkuu badilisha mienendo utanambia...kuna mzee mmoja atajitokeza na kukufanyia mpango.

Acha tabia za kijinga.
Mkuu kwanini usijiunge na ccm(wanajiita matanga kwa sasa). You deserve to be one of their member
 
Duuu shida sijui kama huyo mwanamke ataweza kuwa mcha Mungu, nakuonea huruma endapo mtatifautiana katika hilo.
 
Kwahiyo umekubali kumuoa huyo binti kisa baba yake ni tajiri na binti yupo Norway? unaijua tabia ya huyo binti wakati hata hujawahi kumuona? unakubali kuona kwa kumuona binti kwenye picha tu? Ndoa ni zaidi ya utajiri wa baba mkwe au kisomo cha mchumba,kua makini sana.
 
Grandiosity
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…