Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,691
Huyo gana sifa za kuitwa mple.HAKUNA WATU WABAYA NA KUWAOGOPA KATIKA DUNIA HII KAMA WATU WAPOLE AISEEE.
HAWA WATU SIKU AKIJA KUKUBADILIKIA NDIO UTAMJUA NI MTU WA AINA GANI YAANI HAWA NI WATU WASHENZI SANA AISEEEE.
MIMI NILIKUWA NINA RAFIKI YANGU MPOLE SANA LAKINI MWISHO WA SIKU ALIKUJA KUNITAPELI HELA YANGU NA AKANIBADILIKIA KAMA SIO YEYE VILEEEE
Mkuu kuna watu wakimya ila kugombana ni kawaida kwao,ila labda useme mtu mpole ndiyo huweza kuepuka na kugombana.ukimya una faida kama kupata nafasi ya kutafakari mambo yako bila bughuza,kuepuka kugombana na watu,lakin pia inaepusha watu kukujua undani wako so hauwapi nafasi ya kuku jua but hasara kubwa ni pamoja na kukosa marafiki kwa wakati,watu kukuona lof.a,watu kukuona ant-social,kuna hatari ya kufanya maamuz magumu na ya kutisha ambayo yanweza kukuletea shida maishani.
UmeonaeeeerIla ujasema za upande wa pili,...
Kama mimiTabia nane za watu wa pole.
1. Wanafikiri sana kabla ya kutenda, sio wakurupukaji
2. Ni rahisi kuwaamini
3. Wako tayari kutoa msaada.
4. Ni wazuri kuwa nao kama marafiki
5. Ni wasikilizaji wazuri
6. Wanazielewa hisia za wengine
7. Wanaweza kudumisha mahusiano yao na wengine na ni rahisi kukaa kwenye uhusiano kwa muda mrefu
8. Ni wagunduzi.
Upole ni kuchukia inapobidi na kutenda kwa unyenyekevu inapobidi!Tofauti ya upole na unyenyekevu ni nini?
Naombeni mniambie
Mie hizo sifa nazijua vizuri kwa sababu naishi nazo.Sasa ngoja nikueleweshe kitu kimoja ukielewe...
Ukimya na upole ni vitu tofauti but almost vinaenda sambamba
Mtu mpole mara nyingi anakuwa mkimya, huwezi kuta mtu mpole hapohapo akawa muongeaji ni very rare sana
Sasa kwangu mimi kivyovyote vile ukiwa mpole or mkimya sikupendi, coz nina experience ni watu washenzi sana ktk hii dunia!
Enhee Kwan waonaje?Wewe ni mpole my dear?
Hapa umenigusa sasa.Hizi ndio sifa za watu wakimya:
1. Sio wacheshi
2. Wana kiburi
3. Sio rahisi kukubali kosa alilo fanya
4. Ni watu waku jitenga
5. Hawapendi uguse vitu vyao
6. Ni wazuri kwa u spy / upepelezi
7. Ni watu waku jiweka local sana hata kama fedha ipo
8. Hawana muda sana wanawake.
Walikufanya nini.Sasa ngoja nikueleweshe kitu kimoja ukielewe...
Ukimya na upole ni vitu tofauti but almost vinaenda sambamba
Mtu mpole mara nyingi anakuwa mkimya, huwezi kuta mtu mpole hapohapo akawa muongeaji ni very rare sana
Sasa kwangu mimi kivyovyote vile ukiwa mpole or mkimya sikupendi, coz nina experience ni watu washenzi sana ktk hii dunia!
Wakorofi ndio washenziHAKUNA WATU WABAYA NA KUWAOGOPA KATIKA DUNIA HII KAMA WATU WAPOLE AISEEE.
HAWA WATU SIKU AKIJA KUKUBADILIKIA NDIO UTAMJUA NI MTU WA AINA GANI YAANI HAWA NI WATU WASHENZI SANA AISEEEE.
MIMI NILIKUWA NINA RAFIKI YANGU MPOLE SANA LAKINI MWISHO WA SIKU ALIKUJA KUNITAPELI HELA YANGU NA AKANIBADILIKIA KAMA SIO YEYE VILEEEE
Hivyo vigezo vyote ninavyoTabia nane za watu wa pole.
1. Wanafikiri sana kabla ya kutenda, sio wakurupukaji
2. Ni rahisi kuwaamini
3. Wako tayari kutoa msaada.
4. Ni wazuri kuwa nao kama marafiki
5. Ni wasikilizaji wazuri
6. Wanazielewa hisia za wengine
7. Wanaweza kudumisha mahusiano yao na wengine na ni rahisi kukaa kwenye uhusiano kwa muda mrefu
8. Ni wagunduzi.
Hii mada hainiachi salamaHiyo ndio sifa kuu